Inawezekana ni dola iliyoimarika na si kwamba shilingi imeshuka thamani!

Ingekuwa hivyo basi hata Shilingi ya Kenya ingeshuka thamani. Lakini tunaambiwa Ksh imepanda nayo toka tzs21 mpaka tzs24.
 
Labda inashuka ili malengo fulani yatimie! Sio mwanauchumi muulize Lipumba wa Buguruni
 
Umeangalia pesa ya Kenya,Uganda,na zingine vs shilingi ua Tanzania.?

Dollar ipo juu, shilingi ya kenya ipo juu,hela ya Uganda pia.
Mkuu dola ikiimarika effect yake inasambaa kwa currency mbalimbali kutegemeana na trades za hizo nchi na America! Unachopaswa kujiuliza dola ya Marekani huwa inapimana ubavu na fedha ya nchi gani ukilijua hilo hutapata tabu kujua ni lini dola inaimarika na lini shilingi inashuka kama chanzo cha equation!!
 
Nimekupata mkuu...ila exchange rate imerudi kama kawaida.
 
Hivi mbona uchumi wa China upo juu pesa yao ikoje? Kuna wakati walishusha thamani yao dhidi ya Marekani kuna mbinu gani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom