johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Jamani kwani hiyo dola huwa haiimariki ila shilingi tu ndio inayoshuka thamani? Tujaribu kuangalia mambo kutokea kona zote na siyo kuwasikiliza wazungu kila jambo!
Tumia akili yako kwa matumizi sahihi..Jamani kwani hiyo dola huwa haiimariki ila shilingi tu ndio inayoshuka thamani? Tujaribu kuangalia mambo kutokea kona zote na siyo kuwasikiliza wazungu kila jambo!
Na wewe acha kutumia akili za wazungu akina Frankwood yakupasa ujitambue saa ya ukombozi ni sasa!Tumia akili yako kwa matumizi sahihi..
Labda inashuka ili malengo fulani yatimie! Sio mwanauchumi muulize Lipumba wa Buguruni
Mkuu dola ikiimarika effect yake inasambaa kwa currency mbalimbali kutegemeana na trades za hizo nchi na America! Unachopaswa kujiuliza dola ya Marekani huwa inapimana ubavu na fedha ya nchi gani ukilijua hilo hutapata tabu kujua ni lini dola inaimarika na lini shilingi inashuka kama chanzo cha equation!!Umeangalia pesa ya Kenya,Uganda,na zingine vs shilingi ua Tanzania.?
Dollar ipo juu, shilingi ya kenya ipo juu,hela ya Uganda pia.
Aliyekuambia ni nani?!!Usitumie kinyesi kufikiri. Umeshaambiwa kwamba pesa yenu ya madafu imeanguka dhidi ya currency zilizo nyingi ikiwemo US dollar, UK pound, Kenya shilling n.k.
Nimekupata mkuu...ila exchange rate imerudi kama kawaida.Mkuu dola ikiimarika effect yake inasambaa kwa currency mbalimbali kutegemeana na trades za hizo nchi na America! Unachopaswa kujiuliza dola ya Marekani huwa inapimana ubavu na fedha ya nchi gani ukilijua hilo hutapata tabu kujua ni lini dola inaimarika na lini shilingi inashuka kama chanzo cha equation!!
Kwa kiwango cha umbumbumbu unachoogelea unaamini kabisa kichwa ndio ubongo, wewe ni bure kabisa!!Hicho kichwa ni cha kufugia nywele tu. Yaani umeona dola tu, hizo nyingine?