Inawezekana ni dola iliyoimarika na si kwamba shilingi imeshuka thamani!

Punguani mkubwa! Shillingi imeporomoka almost dhidi ya sarafu zote muhimu za nje ww unaleta upuuzi wa Lumumba humu.
Wewe mbwiga unajua maana ya sarafu " kuporomoka"?!!! Hizo sarafu zote za nje mbona huzitaji basi!!
 
Kwa hiyo hata sisi tungekua na viwanda vingi tungeuza nje vitu vingi, pesa kushuka ni Poa?? Nashindwa kuelewa ,uchumi unasema unapouza vitu vingi nje uchumi unaimarika na pesa inaimarika
 
Tumesahau "Muhimili kujichimbia kwenda chini zaidi ya mingine"
 
Jamani kwani hiyo dola huwa haiimariki ila shilingi tu ndio inayoshuka thamani? Tujaribu kuangalia mambo kutokea kona zote na siyo kuwasikiliza wazungu kila jambo!
shillings lazima iporomoke kwa Sera zenu za kuchoma vifaranga, wanadema kauli huumba katika ulimwengu wa kiroho. si alisema Sera yake watu waishi kama mashetani sasa inaenda kutimia
 
Hivi wewe unajua kuwa kinachosabisha huu mtafaruku ni margin kubwa ya kupomoka ambayo sio normal trend katika 11 months iliyopita,kwani kuimarika na kushuka currencies margin ndogo au normal foreign currencies fluctuations daily ni kitu cha kawaida issue hapa margin ya fluctuation ni kubwa sana within shortest period, hata kama nyingine zimeshuka haziwezi kuwa ktk percentage kubwa kama hii ya TZS ndio maana imestua watz
 
Muulize mwenyekiti wako aliposoma vyuoni katumia vitabu vya kisukuma au vya wazungu ,
Halafu utajua mzungu ni nani...

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Yaani we dogo pamoja na kutumia vitabu vya Nyambari Nyangwine nilitegemea uwe muelewa kidogo. Mwenyekiti wangu ni mtu mwenye fikra huru siyo yule wa Ufipa mwenye ndimi mbili " Lowassa fisadi" mara paaa " Lowassa siyo fisadi"!!!
 
Hivi wewe unajua kuwa kinachosabisha huu mtafaruku ni margin kubwa ya kupomoka ambayo sio normal trend katika 11 months iliyopita,kwani kuimarika na kushuka currencies margin ndogo au normal foreign currencies fluctuations daily ni kitu cha kawaida issue hapa margin ya fluctuation ni kubwa sana within shortest period, hata kama nyingine zimeshuka haziwezi kuwa ktk percentage kubwa kama hii ya TZS ndio maana imestua watz
Ndio nakuuliza wewe unawaamini sana hao mabeberu kuliko BoT?!!! Jaribu kuwa mzalendo kwa kuishughulisha akili yako japo kidogo haya mambo ya kukariri yaweke pembeni!
 
Back
Top Bottom