Inawezekana ni dola iliyoimarika na si kwamba shilingi imeshuka thamani!


J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
14,632
Likes
12,525
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
14,632 12,525 280
Jamani kwani hiyo dola huwa haiimariki ila shilingi tu ndio inayoshuka thamani? Tujaribu kuangalia mambo kutokea kona zote na siyo kuwasikiliza wazungu kila jambo!
 
emmanuel alden

emmanuel alden

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Messages
287
Likes
303
Points
80
emmanuel alden

emmanuel alden

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2016
287 303 80
Nami nauliza when is a strong dollar strong.....?
Maana kila fedha duniani hulalamika kuonewa na U.S dollar!
 
The Stig

The Stig

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
1,098
Likes
777
Points
280
The Stig

The Stig

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
1,098 777 280
Ingekuwa hivyo basi hata Shilingi ya Kenya ingeshuka thamani. Lakini tunaambiwa Ksh imepanda nayo toka tzs21 mpaka tzs24.
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,506
Likes
1,757
Points
280
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,506 1,757 280
Labda inashuka ili malengo fulani yatimie! Sio mwanauchumi muulize Lipumba wa Buguruni
 
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Messages
2,678
Likes
4,358
Points
280
Mdudu halisi

Mdudu halisi

JF-Expert Member
Joined May 7, 2014
2,678 4,358 280
Usitumie kinyesi kufikiri. Umeshaambiwa kwamba pesa yenu ya madafu imeanguka dhidi ya currency zilizo nyingi ikiwemo US dollar, UK pound, Kenya shilling n.k.
 
Kadhi Mkuu 1

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
6,791
Likes
5,028
Points
280
Kadhi Mkuu 1

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
6,791 5,028 280
Hicho kichwa ni cha kufugia nywele tu. Yaani umeona dola tu, hizo nyingine?
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
14,632
Likes
12,525
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
14,632 12,525 280
Umeangalia pesa ya Kenya,Uganda,na zingine vs shilingi ua Tanzania.?

Dollar ipo juu, shilingi ya kenya ipo juu,hela ya Uganda pia.
Mkuu dola ikiimarika effect yake inasambaa kwa currency mbalimbali kutegemeana na trades za hizo nchi na America! Unachopaswa kujiuliza dola ya Marekani huwa inapimana ubavu na fedha ya nchi gani ukilijua hilo hutapata tabu kujua ni lini dola inaimarika na lini shilingi inashuka kama chanzo cha equation!!
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
14,632
Likes
12,525
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
14,632 12,525 280
Usitumie kinyesi kufikiri. Umeshaambiwa kwamba pesa yenu ya madafu imeanguka dhidi ya currency zilizo nyingi ikiwemo US dollar, UK pound, Kenya shilling n.k.
Aliyekuambia ni nani?!!
 
GoPPiii.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2014
Messages
1,381
Likes
2,035
Points
280
GoPPiii.

GoPPiii.

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2014
1,381 2,035 280
Mkuu dola ikiimarika effect yake inasambaa kwa currency mbalimbali kutegemeana na trades za hizo nchi na America! Unachopaswa kujiuliza dola ya Marekani huwa inapimana ubavu na fedha ya nchi gani ukilijua hilo hutapata tabu kujua ni lini dola inaimarika na lini shilingi inashuka kama chanzo cha equation!!
Nimekupata mkuu...ila exchange rate imerudi kama kawaida.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
14,632
Likes
12,525
Points
280
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
14,632 12,525 280
Hicho kichwa ni cha kufugia nywele tu. Yaani umeona dola tu, hizo nyingine?
Kwa kiwango cha umbumbumbu unachoogelea unaamini kabisa kichwa ndio ubongo, wewe ni bure kabisa!!
 
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Messages
1,488
Likes
1,681
Points
280
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2014
1,488 1,681 280
Hahahaaa huyu Jamaa bana, rudi darasani fasta, umejianika leo
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,506
Likes
1,757
Points
280
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,506 1,757 280
Hivi mbona uchumi wa China upo juu pesa yao ikoje? Kuna wakati walishusha thamani yao dhidi ya Marekani kuna mbinu gani
 
palangana

palangana

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Messages
511
Likes
427
Points
80
palangana

palangana

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2017
511 427 80
Hivi Lissu amepata habari hizi au wanamficha vita za uchumi?
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,018