Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

Aende muhimbili atapona ila garama ni kubwa au abadilishe mwanaume tatizo liko kwa mume
Pole sana kaka ni tatizo la wanandoa wengi kwa sasa hasa kuanzia mimba ya mtoto wa pili tatizo ndiyo linaanzia hapo. Lilimtokea dada yangu tiba alipatia muhimbili na sasa hali ni nzuri na ana watoto wakutosha. Ila ngarama ya matibabu ni kubwa. Nenda muhimbili
 
Mnamo tarehe 29 mwezi wa 9 (siku kumi zilizopita) mwanamke ambaye alikuwa na mimba yangu ya miezi 4 aliniambia mimba yake imetoka (nilikuwa mbali naye), baada ya siku 5 tukakutana na kufanya ule mchezo pendwa, then tukakutana tena siku ya 7, hatujakutana tena baada ya hapo maana nilisafiri kesho yake.

Leo hii anasema alilala anatapika, ikabidi asubuhi aende kucheki kwa daktari na kukutwa ana mimba. Je, inawezekana kubeba mimba 1 week after miscarriage?
 
Hilo jambo linawezekana kabisa pasi na shaka. Je, ulihakikisha kuwa mimba ilitoka. Pia kumbuka kitanda hakizai haramu mkuu . Kama binti umempenda kubali matokeo.

Maneno mengi muda hautoshi.
 
Hilo jambo linawezekana kabisa pasi na shaka . Je ulihakikisha kuwa mimba ilitoka . Pia kumbuka kitanda hakizai haramu mkuu . Kama binti umempenda kubali matokeo .
Maneno mengi muda hautoshi.
Niliona tumbo kweli limepungua, ila sikutaka kumpa mimba nyingine kwa sasa, nilitaka tutulie kidogo
 
mkuu huna hata huruma unatia goli tena akat mmepata msiba juzi tu.
, yaani sikufikiria kama inaweza tokea mimba kwa wakati huo, maana ni siku 2 tu aliniambia ametoka bleed baada ya miscarriage
 
Back
Top Bottom