Inawezekana mwanamke kupata mimba wiki moja baada ya mimba kuharibika?

screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,711
Points
2,000
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,711 2,000
Mnamo tar29 mwezi wa 9 (siku kumi zilizopita) mwanamke ambaye alikuwa na mimba yangu ya miezi 4 aliniambia mimba yake imetoka (nilikuwa mbali naye), baada ya siku 5 tukakutana na kufanya ule mchezo pendwa, then tukakutana tena siku ya 7, hatujakutana tena baada ya hapo maana nilisafiri kesho yake.

Leo hii anasema alilala anatapika, ikabidi asubuhi aende kucheki kwa daktari na kukutwa ana mimba. Je inawezekana kubeba mimba 1 week after miscarriage?
 
D

DUMU

New Member
Joined
Sep 23, 2019
Messages
2
Points
45
D

DUMU

New Member
Joined Sep 23, 2019
2 45
Hilo jambo linawezekana kabisa pasi na shaka . Je ulihakikisha kuwa mimba ilitoka . Pia kumbuka kitanda hakizai haramu mkuu . Kama binti umempenda kubali matokeo .
Maneno mengi muda hautoshi.
 
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
7,711
Points
2,000
screpa

screpa

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
7,711 2,000
Hilo jambo linawezekana kabisa pasi na shaka . Je ulihakikisha kuwa mimba ilitoka . Pia kumbuka kitanda hakizai haramu mkuu . Kama binti umempenda kubali matokeo .
Maneno mengi muda hautoshi.
Niliona tumbo kweli limepungua, ila sikutaka kumpa mimba nyingine kwa sasa, nilitaka tutulie kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,342,663
Members 514,746
Posts 32,759,069
Top