Inawezekana mtu mwenye maambukizi ya ukimwi akaishi au kufanya tendo la ndoa na mtu asiye na ukimwi bila kupata

Mkuu wahi kwenda kucheki afya kwanza,kisha uje kuanzisha Uzi huku akili ikiwa na majibu na sisi tutaweza kuchangia
Mkuu siyo mimi ila kuna Dada mmoja ambaye ni rafiki yangu na ameishi na hiyo hali kwa miaka 6 sasa ndiyo nimeshauri aende hosptali ili anze kutumia dawa ndiyo akaniuliza hilo swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom