Inawezekana mtu kupima kiwango cha virusi(HIV) 40 per mls

dimatteo

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
868
931
Kutokana na swali la hapo juu wakuu naomba tuu! kujua kuna kitu kinaitwa undetectable viral load, Je, mtu anaetumia ARV na akawa na virusi 40copies/per mills na cd4 count 850.

Je, nirahisi kwa mtu kusababisha maambukizi kwa mwenza?

Swali lingine ivi level ya kupima viwango vya virusi for simple blood test inatofautiana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa elimu yangu ndogo najua kua below 50copies/mls hua tunasema ni undetectable yani vipimo vyetu vingi haviwezi kuona virusi chini ya hiyo 50.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kwa elimu yangu ndogo najua kua below 50copies/mills hua tunasema ni undetectable yani vipimo vyetu vingi haviwezi kuona virusi chini ya hiyo 50
Na mtu mwenye virusi chini ya 400copies/mils huyo tunamuita ana low viral load na ana very small chance ya kumuambukiza mwenza hata pasi na kutumia condom


Sent from my iPhone using JamiiForums
400 copies or 40 copies sijakupata au umechapia mkuu, ila nimekupata angalau ila kuna baadhi hapahapa tz si wanaweza pima 40 copies in a sample of blood au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunajarida nilisoma linaeleza kuwa mtu mwenye very low viral load ukisex nae pasipo kutumia condom unakuwa safe kwa 96% bt mtu kama hatumii ARV na ni hiv na ukasex nae kwa kutumia condom unakuwa safe kwa 70%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom