miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,709
INAWEZEKANA KAMA ILE CASE YA CHARLIE SHEEN NA MPENZI WAKE
Cjaelewa mkuu unamanisha kila k2 ni feki kwa hyo watu wanaosemekana wana HIV ni uongo ama?na kama ni uongo je? wana ugonjwa ganiWakuu,mada hii ni pana mno,kuiandaa na kuiweka yote hapa hata kwa summary bado ni kubwa mno kwa kuwa inajumuisha mambo mengi sana,na ndio maana huwa natumia njia hii ya kutoa dokezo halafu watu huuliza maswali ambayo wanadhani yana utata nami huyajibu.
Nikiweka mada yote huku kama inavyotakiwa wana JF kwa jinsi ninavyowafahamu,hawataisoma yote na badala yake watakimbilia kupinga kwanza,utake usitake,hivyo ndivyo wana JF wengi walivyo,hii ni mojawapo ya tabia inayonivunja moyo sana,na ndio maana najitahidi kunusuru muda wangu pia.Nilitoa vidokezo 4 kusema kwamba ugonjwa huu ni feki katika nyanja hizo,hivyo mtu ambaye ana swali kwenye kidokezo chochote kati ya hivyo anaweza kuniuliza nami nitamjibu na kumpatia evidence pale anapohitaji ingawa najua pia hata nikitoa evidence bado watu hawataamini kwa kuwa tumepumbazwa akili zetu na taarifa hizi za uongo kwa muda mrefu sasa mpaka imefikia wakati tunaona ni kweli.Uongo ukiurudia rudia mara kwa mara mwishowe watu watauona ni ukweli(ukweli wa uongo).
VIDOKEZO;
1.Historia ya HIV/AIDS ni feki
2.Hypothesis ya HIV/AIDS ni feki
3.Vipimo vya HIV/AIDS ni feki
4.Dawa zinazotumika za HIV/AIDS yaani ARVs ni feki pia.
Karibuni kwenye elimu ya bure,ni muda wako tu.
Fatilia mwanzo hadi mwisho kashaelezeaCjaelewa mkuu unamanisha kila k2 ni feki kwa hyo watu wanaosemekana wana HIV ni uongo ama?na kama ni uongo je? wana ugonjwa gani
Mleta uzi bila shaka sasa hivi unatumia pills.Wadau,
Nimeisoma kwa umakini mkubwa sana thread ya mdau mmoja aliyekata shauri na kuamua kwenda kupima HIV!
Kiukweli kabisa toka katika uvungu wa moyo wangu nampongeza sana na Mwenyezi Mungu amuokoe huyu ndugu! Lakini kati ya wachangiaji waliosimama kidedea kuchangia thread hii, mchangiaji mmoja nimemnukuu akisema, "hukujua kuwa kupata UKIMWI ni kazi ngumu sana.."
Na kwa bahati mbaya alipoombwa kutoa elimu na uzoefu wake na baadhi ya wadau, hakuonekana tena! Usemi huu umeibua tafakari na tafakuri nyingi katika halmashauri yangu ya kichwa, nikirejea na siku za mgongoni nikiwa darasani mwalimu pia aliwahi kusema maneno sawia na ya mchangiaji wa leo na toka ya hapo, swali hili limetoka katika tawala za kichwa changu kwamba, "Je, inawezekana mtu akalala (siyo kulala huku kwa kawaida, tafsida imezingatiwa) na mtu mwenye UKIMWI tena bila condom na asipate UKIMWI?".
Nisaidieni wadau.
Nawasilisha.
======
Ukimwi upo, asikudanganye mtu. Tumia akili ya kuzaliwa. Usiingie cha kike.Cjaelewa mkuu unamanisha kila k2 ni feki kwa hyo watu wanaosemekana wana HIV ni uongo ama?na kama ni uongo je? wana ugonjwa gani
Yaani ashakaa miaka 20+ bila hiyo doz leo hii aogope nn tenaMkuu nakushauri uingie kwenye dozi haraka iwezekanavyo....
Nn..? Mbona hauleweki ulichosema?Na mbona Mimi tangu nimezaliwa had sasa Nina miaka 23 simez na sijafa na siumwiumwi??
Kweli aisee kwa mwaka mtu anakula vidonge 365.baada ya miaka minne lazima apate madharaHuu Uzi umenifungua macho aisee nilikua nawazaga bila kupata majibu yani kila siku umeze mavidonge mengi sasa sijui ni vingapi humeza kwa siku bila kuwa na effects kubwa mwilini. Mara mastory mtaani wengi wanaotumia hizo dawa hufa ghafla zikiwakataa ila nimepata jibu tosha aisee.
Deception umenifungua kitu,na mimi ntaendelea kufuatilia zaidi,shukranNahitaji kuweka summary ya mambo yote lakini kila kukicha wanaingia wachangiaji wapya na kunirudisha nyuma.Hii summary itasaidia kupunguza maswali mengi na wale ndugu zangu wa kutafuniwa watakuwa wamepata mkombozi.
Mkuu ilikuaje?Mim nina ushuhuda wote nilikuwa namgegeda mwanmke kwa miaka 4 lakini mim sikuhasilka adi leo nimeokoka
Oi mwisho wake imekuaje? Ni miaka miwili sasajaman msaada please imepita miezi sita toka niachane kimapenz na mdada mmoja ambaye alikua mtu wang sabab aliniomba tuachane ili apate wa kumuoa kweli nilifanya hivo Mung si athuman yule bint akapata mchumba baada ya mwez tu kuachana na alikua ananiambia hawajawah sex na mtu wake mpaka ndoa mara kwa mara tulipoachana alikuwa anaenda kupima peke yake analeta majibu . negative cha ajabu mwez huu wameenda kupima na mmewe mtarajiwa kajikuta ni positve mme wake negative na bado hawajasex aliponiambia nilistuka nikambana akasema mara ya 'm wisho kusex amesex na mimi / mwaka ja na October ilibid nikapime haraka mda huo nikakutwa negative nikamletea vipimo vyang NIMESHINDWA NIMSAIDIAJE ila mchumba wake anaimani nae sana wadau nipen hatua za kumsaidia inauma sana
Mmmmh!!! HatariDeception
I wish ningeyajua haya mapema,katka ukoo wetu tumepoteza ndugu zetu wengi kwa ukimwi yaan had nawazaga pengine tuna laana,lakini kuna mama angu mkubwa mmoja aligoma kabisa kutumia Arv na hadi leo anadunda tena mzima na afya yake zaid ya miaka 15 sasa,naanza kupata picha kilichowaondoa wa mwanzo pengine ndo haya unayoyasema maana huwaga hawachukui hata miaka mitano wakishajijua.
Mkuu naomba pls nisaidie hicho kitabu au link ulio quote...