PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,815
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
Style hiyo aliitumia Zuma, Rais wa Afrika ya kusini.
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
Style hiyo aliitumia Zuma, raisi wa Afrika ya kusini.
Mimi kuna askari mmoja ametembea na wanawake wenye ukimwi zaidi ya wanne na amekuwa akipima mara kwa mara yuko vizuri. Mpaka wakati mwingine yeye huwa anajishangaa maana haamini. Alikuwa ni mmoja wa waliopewa chanjo ya ukimwi ya majaribio.
Dah! Kwanini unasema HIV/AIDS ni feki na vipimo vyake kwanini viwe feki pia?
Nzowa,
Umenifanya nikimbilie maliwato haraka kujicheki. Hivi uume mdogo ukoje na uume mkubwa mpaka unasababisha michubuko ukoje?
Back to the point.
Si kila kumlala mwanamke mwenye ukimwi kunaleta maambukizi hayo. Ninawajua watu flani sasa ni marehem, waliacha wake zao na hakuna hata mmoja mwenye hiyo kitu. Hapo nasema kwa ukakamavu kabisa. Cha kushangaza mmoja alizaa na mama kati ya hao vitoto vimekwisha tangulia lakini hawaa wawili ni wazima.
Haya; Si kila mwanamke atalala na mwenye ukimwi aupate pia. Mbona hawa wamama hawana? Ukimwi ni adhabu flani hivi. Siye tunapiga kavu kavu nyingi tu bado hata dalili hakuna. Huna haja ya kilainishi, mwandae vizuri, usilogwe ukaenda nje ya mipaka yaani kinyume na maumbile. Huko hata umwandaeje, hakuna kilainishi chochote kule ila tangi bovu tu kule.
Mkitaka sikieni hamtaki endeleeni hata ukivaa kondom 2, ni bure. Miye ka ni mipira hiyo sivai naacha naenda kulala
Samahan kwa kuuliza swali hili. Yawezekanaje, mtoto atungwe mimba na watu wawili ambao ni HIV+ halafu anyonye damu ya mama yake aliye+ miezi tisa kamili. Azaliwe, kwa njia ya kawaida, ambayo kuna elasticity inayotokea kupanua njia ya kutokea. Akatwe kitovi na watu waliovalia maglvu ya kufa mtu. Sometimes hata 4 kuogopa maambukizi. Mtoto, anyonye colostrum ya mama aliye+.
Ati mtoto yule, asiupate. Haiingii akilini, yu people want to play with our minds, mtutie mihofu. Hatutatumia mijikondom yenyu, hatutafanya mapenzi kinyume cha maumbile, na tutaishi wala hatuta kufa kamwe.
Mungu alituruhusu tuzae, huwezi kuzaa kwa mipira. Ntaendelea kistaarab kumtumia mke wangu kihalali na ukimwi hautanipata.

Nshatembea sana na totoz but mpaka leo am so good, nothing like mdudu, but also nakula sana mitishamba,, niko na almost 15 years sijala hata panadol.
Hakika unaweza kwenda peku na usiupate ili mradi usiwe na manjonjo mengi kitandani na kikubwa ni kumwandaa tu
1.Ukimwi hauambukizwi
2.Ukimwi hauambukizwi kwa njia ya ngono
3.HIV hawezi kusababisha ukimwi na hasababishi ukimwi kwa kuwa hana sifa ya kusababisha ukimwi.Nashauri tujitahidi kwenda nje ya mainstream kutafuta habari,mambo mengi tunayoyafahamu kwenye dunia hii hayapo kama tunavyoyaona au kuyasikia,na mambo yamewekwa hivyo kwa sababu maalum kabisa.Anayesikia haya kwa mara ya kwanza atadharau au kufunga milango yake ya fahamu,kufunga milango ya fahamu hakubadilishi ukweli kuwa uongo,ukweli utabaki palepale.
Ukielewa ukweli kuhusu jambo hili utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayeogopa HIV ni sawa na kuogopa kivuli chake mwenyewe.Kama una swali lolote ambalo unadhani lina utata kuwa huru kuuliza.Nimetimiza wajibu wangu kutoa dokezo,kama mtu ana dukuduku/swali awe huru kuniuliza.
Hebu gusa link hapo chini kwa kuanzia;
https://www.youtube.com/watch?v=pB8g0b-FkW0
Je Kunamadhara Gan Yatokanayo Na Kunyonyana Ndimi?
yani imenibidi nikashee na rafiki zangu hii elimu. ahsante sana DECEPTION
Mi nadhani inawezekana. Kuna jirani yangu mmoja jina(), kabla ya kuoa alikwisha lala na wanawake wasiopungua 60, na wengine alikuwa anaambiwa wana ukimwi na kwa kudhibitisha kabisa ni kweli wanao na wengine washafariki kwa hali zao kuwa mbaya ila yeye mpaka leo kila anapopima ukimwi anakutwa hana.
Wakuu,mada hii ni pana mno,kuiandaa na kuiweka yote hapa hata kwa summary bado ni kubwa mno kwa kuwa inajumuisha mambo mengi sana,na ndio maana huwa natumia njia hii ya kutoa dokezo halafu watu huuliza maswali ambayo wanadhani yana utata nami huyajibu.
Nikiweka mada yote huku kama inavyotakiwa wana JF kwa jinsi ninavyowafahamu,hawataisoma yote na badala yake watakimbilia kupinga kwanza,utake usitake,hivyo ndivyo wana JF wengi walivyo,hii ni mojawapo ya tabia inayonivunja moyo sana,na ndio maana najitahidi kunusuru muda wangu pia.Nilitoa vidokezo 4 kusema kwamba ugonjwa huu ni feki katika nyanja hizo,hivyo mtu ambaye ana swali kwenye kidokezo chochote kati ya hivyo anaweza kuniuliza nami nitamjibu na kumpatia evidence pale anapohitaji ingawa najua pia hata nikitoa evidence bado watu hawataamini kwa kuwa tumepumbazwa akili zetu na taarifa hizi za uongo kwa muda mrefu sasa mpaka imefikia wakati tunaona ni kweli.Uongo ukiurudia rudia mara kwa mara mwishowe watu watauona ni ukweli(ukweli wa uongo).
VIDOKEZO;
1.Historia ya HIV/AIDS ni feki
2.Hypothesis ya HIV/AIDS ni feki
3.Vipimo vya HIV/AIDS ni feki
4.Dawa zinazotumika za HIV/AIDS yaani ARVs ni feki pia.
Karibuni kwenye elimu ya bure,ni muda wako tu.