Elections 2015 Inawezekana mgombea Urais kupelekwa mahakamani muda wa kampeni ushahidi ukiletwa?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Wanajamvi nauliza maswali matatu maana najua ntapata majibu sahihi toka kwa wanajamvi mahiri

1, Hivi mgombea urais anaweza kufikishwa mahakaman wakati wa kampen kwa kosa la ufisadi wa muda uliopita ? Na akifikishwa nec itatoa muda wa chama chake kuteua mwingine? Au ndo inakuwa imekula kwao kwa kutokuwa makin kumchagua mgombea safi, pia nec kama itaruhusu itatoa muda wa nyongeza wa kampen na uchaguz kusogezwa mbele?

2, Je kabla ya kuapishwa kama anaonekana kuwa anaongoza kura za awali, au kashinda kabisa kabla hajaapishwa anaweza kupelekwa mahakaman kwa kosa la ubadhilifu wa fedha aloufanya nyuma? Je uchaguz utaitishwa mwingne? Au makamu ndo ataapishwa?

3, Je akithibitika kuwa ametoa rushwa kwenye kampen akishtakiwa anaweza pata adhabu gan? Na nguvu za rais aliyeko zawezaje kutumika kuzuia mtu asiye mwadilifu kuingia madarakan?

Nasikia kuna mgombea fulani kapewa mashart makubwa kwamba wakati wa kutangaza matokeo itabidi awatulize watu wake wasilete vurugu, naye atasamehewa suala la RICHMOND, nawaambia kwa kikao kile cha pale ***** usidhani kwamba ipo siku mzee huyu atashtakiwa, haitawezekana, wamemwambia masuala ya kashfa zake wataachana nazo ila afanye yafuatayo
A. Aendelee kukaa Chadema kwa Kazi maalumu ambayo itasaidia mawazo mengi ya kuwatuliza,
B. Kwamba aendelee kuwasihi vijana na kuwahasa wachane na vurugu ili nchi itawalike vema
C.Wakati huo huo wabunge wa upinzani wanaweza kuwa wengi, ila kazi maalumu aliyopewa ni kuhakikisha anawapunguza kwa kujiuzuru, kuachana na ubunge
E. Alafu ataambiwa akae kimya kabisa asijihusishe na siasa za majukwaa ili ioneshe kuwa kama Lowassa katii sasa kwanini sisi kina mbowe tusitii

lowassa ana makosa na tuhuma nyingine ambazo hamjaambiwa ila file analo mzee mangula tumelipitia,

KAA MNAJUA MAHAKAMA YA MAFISADI ANAYOISEMA MAGUFULI MGOMBEA WA CCM HAITAMGUSA LOWASSA ILA ATAKACHOFANYWA NI KUZIBIWA MIRIJA , MFANO

BEREAU DE CHANGES NYINGI ZIKO MSASANI,KARIAKOO, NA KARIAKOO, MAARAFIKI ZAKE LOWASSA WENGI HUTAKATISHA HELA KUPUTIA HUMO,

VODACOM/SHIVACOM
JENGO LA UVCCM HELA YA PANGO VYOTE VITAZIBWA
KUNA MASHAMBA NA RANCHI NYINGI ZAKE ALIPATA KWA UJANJA,

Nb: Naomba uzi huu uwekwe kama kumbukumbu hapa JamiiForums, waweza kuwa refference baadae kidogo ,

Ili mradi ni mtuhumiwa tu atagombea na kuapishwa kama kashinda...
haruhusiwi kama keshahukumiwa
 
Kuna kushitakiwa ka mtuhumiwa na kukutwa na kosa kama mtenda kosa hapo upo.
Yote kumi wamechelewa kumchafua.Safari hii hata akiwa mahabusu kura ni UKAWA tu.
 
Wanajamvi nauliza maswali matatu maana najua ntapata majibu sahihi toka kwa wanajamvi mahiri

1, Hivi mgombea urais anaweza kufikishwa mahakaman wakati wa kampen kwa kosa la ufisadi wa muda uliopita ? Na akifikishwa nec itatoa muda wa chama chake kuteua mwingine? Au ndo inakuwa imekula kwao kwa kutokuwa makin kumchagua mgombea safi, pia nec kama itaruhusu itatoa muda wa nyongeza wa kampen na uchaguz kusogezwa mbele?

2, Je kabla ya kuapishwa kama anaonekana kuwa anaongoza kura za awali, au kashinda kabisa kabla hajaapishwa anaweza kupelekwa mahakaman kwa kosa la ubadhilifu wa fedha aloufanya nyuma? Je uchaguz utaitishwa mwingne? Au makamu ndo ataapishwa?

3, Je akithibitika kuwa ametoa rushwa kwenye kampen akishtakiwa anaweza pata adhabu gan? Na nguvu za rais aliyeko zawezaje kutumika kuzuia mtu asiye mwadilifu kuingia madarakan?

Nasikia kuna mgombea fulani kapewa mashart makubwa kwamba wakati wa kutangaza matokeo itabidi awatulize watu wake wasilete vurugu, naye atasamehewa suala la RICHMOND, nawaambia kwa kikao kile cha pale ***** usidhani kwamba ipo siku mzee huyu atashtakiwa, haitawezekana, wamemwambia masuala ya kashfa zake wataachana nazo ila afanye yafuatayo
A. Aendelee kukaa Chadema kwa Kazi maalumu ambayo itasaidia mawazo mengi ya kuwatuliza,
B. Kwamba aendelee kuwasihi vijana na kuwahasa wachane na vurugu ili nchi itawalike vema
C.Wakati huo huo wabunge wa upinzani wanaweza kuwa wengi, ila kazi maalumu aliyopewa ni kuhakikisha anawapunguza kwa kujiuzuru, kuachana na ubunge
E. Alafu ataambiwa akae kimya kabisa asijihusishe na siasa za majukwaa ili ioneshe kuwa kama Lowassa katii sasa kwanini sisi kina mbowe tusitii

lowassa ana makosa na tuhuma nyingine ambazo hamjaambiwa ila file analo mzee mangula tumelipitia,

KAA MNAJUA MAHAKAMA YA MAFISADI ANAYOISEMA MAGUFULI MGOMBEA WA CCM HAITAMGUSA LOWASSA ILA ATAKACHOFANYWA NI KUZIBIWA MIRIJA , MFANO

BEREAU DE CHANGES NYINGI ZIKO MSASANI,KARIAKOO, NA KARIAKOO, MAARAFIKI ZAKE LOWASSA WENGI HUTAKATISHA HELA KUPUTIA HUMO,

VODACOM/SHIVACOM
JENGO LA UVCCM HELA YA PANGO VYOTE VITAZIBWA
KUNA MASHAMBA NA RANCHI NYINGI ZAKE ALIPATA KWA UJANJA,

Nb: Naomba uzi huu uwekwe kama kumbukumbu hapa JamiiForums, waweza kuwa refference baadae kidogo ,

Jaman Hapa Hajatajwa Mgombea Mmoja, Wanaogombea Wako Weng, 1, Magufuli - CCM, 2,lowassa - Chadema 3, Anna Mgwira Act 4, Hashim Rungwe 5, Chief Yembe Lutas - Adc

Ila kwa lowassa nimetoa maelezo zaid
 
Wakimashika Lowassa ndo wataamsha hasira...mwiba huu mchungu kuutoa mchungu kubaki nao ila ni busara wakabaki nao maana watapata hukumu ya watu kama watautoa sasa.Watu wanauloza walikuwa wapi siku zote hizo?
 
Lowasa anashindwa kwa medani za kisiasa tu, CCM ina vichwa.
 
Lowassa kawashika CCM pabaya mpaka wanajitia aibu.

Mwaka huu!!!!
Na bado. Dr Slaa angejua wala asingekubali kwenda kujidhalilisha pale Serena.
Alichokifanya ni kitendo cha kishujaa sana kwa UKAWA kwa sababu amempa Lowassa mileage kubwa sana na kuwafanya wazidi kujaza tsunami kwenye mikutano yao. Asante sana Dr Slaa kwa kuongeza speed ya tsunami.
 
Hoja inauliza vingine watu wanajibu vingine hapo hajatajwa mtu kama kitu hujui bora ukae kimya kuliko kuandika uharo bora vyuo vifunguliwe utoto umekuwa mwingi nowadays JF
 
Back
Top Bottom