Elections 2015 Inawezekana mgombea Urais kupelekwa mahakamani muda wa kampeni ushahidi ukiletwa?

Jokajeusi

Jokajeusi

JF-Expert Member
4,305
2,000
Wanajamvi nauliza maswali matatu maana najua ntapata majibu sahihi toka kwa wanajamvi mahiri

1, Hivi mgombea urais anaweza kufikishwa mahakaman wakati wa kampen kwa kosa la ufisadi wa muda uliopita ? Na akifikishwa nec itatoa muda wa chama chake kuteua mwingine? Au ndo inakuwa imekula kwao kwa kutokuwa makin kumchagua mgombea safi, pia nec kama itaruhusu itatoa muda wa nyongeza wa kampen na uchaguz kusogezwa mbele?

2, Je kabla ya kuapishwa kama anaonekana kuwa anaongoza kura za awali, au kashinda kabisa kabla hajaapishwa anaweza kupelekwa mahakaman kwa kosa la ubadhilifu wa fedha aloufanya nyuma? Je uchaguz utaitishwa mwingne? Au makamu ndo ataapishwa?

3, Je akithibitika kuwa ametoa rushwa kwenye kampen akishtakiwa anaweza pata adhabu gan? Na nguvu za rais aliyeko zawezaje kutumika kuzuia mtu asiye mwadilifu kuingia madarakan?

Nasikia kuna mgombea fulani kapewa mashart makubwa kwamba wakati wa kutangaza matokeo itabidi awatulize watu wake wasilete vurugu, naye atasamehewa suala la RICHMOND, nawaambia kwa kikao kile cha pale ***** usidhani kwamba ipo siku mzee huyu atashtakiwa, haitawezekana, wamemwambia masuala ya kashfa zake wataachana nazo ila afanye yafuatayo
A. Aendelee kukaa Chadema kwa Kazi maalumu ambayo itasaidia mawazo mengi ya kuwatuliza,
B. Kwamba aendelee kuwasihi vijana na kuwahasa wachane na vurugu ili nchi itawalike vema
C.Wakati huo huo wabunge wa upinzani wanaweza kuwa wengi, ila kazi maalumu aliyopewa ni kuhakikisha anawapunguza kwa kujiuzuru, kuachana na ubunge
E. Alafu ataambiwa akae kimya kabisa asijihusishe na siasa za majukwaa ili ioneshe kuwa kama Lowassa katii sasa kwanini sisi kina mbowe tusitii


lowassa ana makosa na tuhuma nyingine ambazo hamjaambiwa ila file analo mzee mangula tumelipitia,

KAA MNAJUA MAHAKAMA YA MAFISADI ANAYOISEMA MAGUFULI MGOMBEA WA CCM HAITAMGUSA LOWASSA ILA ATAKACHOFANYWA NI KUZIBIWA MIRIJA , MFANO

BEREAU DE CHANGES NYINGI ZIKO MSASANI,KARIAKOO, NA KARIAKOO, MAARAFIKI ZAKE LOWASSA WENGI HUTAKATISHA HELA KUPUTIA HUMO,

VODACOM/SHIVACOM
JENGO LA UVCCM HELA YA PANGO VYOTE VITAZIBWA
KUNA MASHAMBA NA RANCHI NYINGI ZAKE ALIPATA KWA UJANJA,


Nb: Naomba uzi huu uwekwe kama kumbukumbu hapa JamiiForums, waweza kuwa refference baadae kidogo ,Bila shaka upo ndani ya System au una chanzo makini humo.

Na mimi ndio nikionacho, Lowasa kuhama CHADEMA kuliharibu mood yangu kabisa ya kupiga kura.
 

Forum statistics


Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom