Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

Viongozi wa CCM walivyowanafiki ili kutetea matumbo yao, wameshajua kwamba Msigwa anahusiano na Magu wataanza kumkwepakwepa kijanja ili wasijiingize katika kumnyanyasa sana kama ilivyo kwa wanachadema wengine. Akina Polepole kujua tu uhusiano huu siku moja wajifanya kama vile walishajua siku nyingi wanabeba magari ya serikali kama matahira kwenda kumchukua msigwa wakati hata kutumwa hawajatumwa. Magu angetaka kumtoa Msigwa kiboss asinge hangaika na akina Polepole angetuma watu wake wa Ikulu wamfuate. Tangu lini katibu mwenezi amekuwa msaidizi wa Rais.
 
Bwashee watanzania wamekuzwa katika ustaarabu mambo ya kukinukisha kama unayapenda nenda kaishi Somalia!
Mambo kama yale ya Segerea juzi ndiyo yanayozalisha tabia za kukinukisha kama kule Somalia.
Fuatilia historia vizuri chimbuko la makundi ya kigaidi, kijambazi hata ya visasi ni tabia za maonevu kama zile za Segerea juzi.
Tuweke siasa pembeni kabisa, hivi kama Mdee au Bulaya ni Dada yako au mke wako kisha wanaume wenye silaha na uniform wanamshambulia bila sababu na kumvunja mkono au mgongo wazo lako la kwanza kukujia akilini kabla hujamkumbuka Mungu litakuwa nini?
Nimesema ujibu ukiwa umeweka hisia zako za siasa pembeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema umekosa viongozi ila ina mamilioni ya watu walio nyuma yao.

Sio kwamba wanaipenda Chadema ila wanaichukia CCM.

Viongozi wa Chadema wangekuwa na uthubutu wa kukinukisha, watapata support kubwa sana toka kwa watu wasiowategemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema ni bora kuliko ccm kwani ccm ingekuwa bora cdm isingeungwa mkono.Kuna vyama vingi vya upinzani bado wananchi wanaviamini kukiko ccm.
Vyama ni watu na uwingi wa,watu ktk vyama unategemea msimamo wa,viongozi na usafi wao.
Elewa wazi kuwa unaodai ni wabovu ndiyo ambao ccm inachukua na kuwa viongozi wa wilaya ,mikoa na wengine mawaziri sasa ubovu wao unatoka wapi.
Ashakumu si matusi,Hata nzi hutamani kila kitu kiwe mavi ili ale na kunusa.Kinachoiponza ccm ni tamaa na kutokujiandaa kimkakati kuhusu mabadiliko ya demokrasia duniani.

Ccm haijui inatakiwa kufanya nini haina azimio la kazi wala haina zana na kama zana zipo basi imechanganya zana kwa kazi zisizoendana.




#Getwellsoon#halimamdeee#and#others#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom