Inawezekana kweli kuna deal haramu (kwa mujibu wa UN) la silaha kati ya Tanzania na North Korea?

Ndege wafananao huruka kwa pamoja...game recognize game... Dictator hushikamana na dictator mwenzake pia
 
USA na UN ni machoko .

Mbona NKorea na Kim Jong-Un wana biashara na kampuni kibao sana hasa financial business (forex exchange trade) zinatengeneza billions of dollars na kuajiri vidamba wa kimarekani!!

Waache uchoko.
 
na US imesema itakata mawasiliano ya kiuchumi na nchi zote zinazojihusisha kibiashara na korea kaskazini


Bora tukate mahusiano nao, kwanza wametunyonya sana kwenye umeme .

Hatutapata hasara yoyote zaidi tunakuwa na faida ya kufanya biashara na nchi zingine kwa faida ya nchi.
 
Yaani tunaunga mkono nchi ya korea kaskazini inayotaka kuangamiza dunia,hasa marekani?

Mbona Sera ya mambo ya nje iko hovyo hovyo tu

Kumuunga mkono kiduku ni ujinga mkubwa


Hujui tu, USA ni sumu ya mamba yaani bora NKorea.

USA ni don't try it at home.
 
Wazungu bhana...
Kuwakataza madini tu ndo wanaanza kutusakama hivyo?
Always mabepari kulindana siku zote na kuangalia maslahi Yao kuna msemo unatumiwa na wazungu unaosema "Don't fight with a big Fish" ukiwa na maana ya kuwa alipokugusa mkulu n pabaya Sana siku zote ukila na kipofu usimshike mkono haimaanish napinga Jitihada za Mkulu kupambana na uhujum uchumi nop ila hatua anazotumia kuwatreat wawekezaji na wafanya biashara km maadui.Kwa sbbu ukiangalia serikal ilokuwa madarakan mda wote n hyohyo yake na wala si nyingine so Solution iliyokuwa ikitakiwa n pamoja na
Kureview baadhi ya mikataba iliyokuwa imewekwa na bunge juu ya sheria ya uwekezaji na kupanga n kiasi gan cha kutoza kodi dhid ya ile ya awali OVER.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono ushirikiano na North Korea wazungu wasituchagulie rafiki wala adui.
 
....Kwa hii comment you must be a school boy!! Hivi unaelewa nini maana ya kuwa member wa UN na international treaties?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndugu North Korea inaitisha vipi Tanzania au Nchi za Kiafrika. North Korea katengeneza kombora linalofika America siyo Africa unaogopa kitu gani. Wewe ndo inabidi huwe Shule ujuwi UN nani mwenye sauti. Nakupa homework katafute vikwazo alivyokutana navyo CHINA wakati anataka kuwa mwanachama wa kudumu wa UN, je hivyo vikwazo vilitoka kwenye nchi gani?
 
Back
Top Bottom