Missile called "surface to air"Tanzania inafanya biashara gani na North Korea?
Kwani ni lini tulishafanyiwa hivyo Mkuu?Wasitishe tu, haitakuwa mara ya kwanza!
Akili ndogo sana wewe ,fedha za mcc unazipiga mawe wakati serikali kilakila uchwao inaomba kusaidiwa !!? Unaakili kweli wewe au ndio ujinga!! Mbona fedha za misaada kutoka kwa hao wazungu zikija mnafurahi hadi mnataman vyombo vyote vya habari duniani vionyeshe mnavyo pokea msaada huo?Zile fedha zao za mcc walizileta na imekuwa je? Nyie ndio wanaume muuzao makalio kwa kuogopa shida. Akili za kula iliwe hizi.
Mchina wa jF.
Na washawasha!
Hapa lazma Mahinga ajiandae kwa safari za Ulaya kwenda kuweka mambo sana.....Wazungu wakiona unagusa maslai yao kwenye miradi miovu lazima wakuundie zengwe.
.."According to a UN panel of experts’ report, Tanzania is under investigations over alleged military dealings with a North Korean firm, valued at about $12.5 million"..
ze kokuyo umenionea fundi25 ?!
Ningeomba atoe tamko katika hili ili tujue msimamo wake mapema, naona na sisi vikwazo vinaweza kutuhusu. Mawigi hachezi bhana..