Adolf Mark
Member
- Nov 4, 2011
- 50
- 26
Niseme wazi kuwa sifurahishwi na tabia ya baadhi ya viongozi wapya kuwaponda watangulizi wako, siamini kama unaweza kuwa kiongozi bora bila kuponda watangulizi wako, fanya utendaji wako bila kupondaponda wenzako, kuna tuliofurahishwa na uongozi wa huyo mstaafu, tuna imani amefanya makubwa ya kupigiwa mfano.