Inawezekana kuwa na rafiki aliyekuzidi sana umri??

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,378
Habari za ijumaa?

Inawezekana kwa kijana wa kike au wa kiume kuwa na rafiki aliyekuzidi sana umri?,kwa mfano wewe una miaka 15 halafu rafiki yako let's say ana miaka 28,is it possible?...nauzungumzia urafiki wa kawaida tu wa jinsia moja..
 
Urafiki haina shida kabisa
 
Kweli hapo hamna shida, ila kama ni ule urafiki mwengine wa vijana wa kileo 15-28 atakuwa anakubaka hata kama ni mpenzi
 
Mnaongea nini?

Unless mwenye 15 anamchukulia 28 kama kaka yake, lakini sioni urafiki hapo. Kitachotokea ni yule wa 28 kumtuma dogo wa 15 madem wa saizi yake (Kama ni wanaume watupu).

Kwa wanawake, yule mwenye 28 atakuwa anamkuwadia mwenye 15 kwa wanaume wa saizi yake! Otherwise watasagana.
Usikubali urafiki wa namna hii kabisa.
 
Kwa urafiki wa kawaida aise ni vigumu ila ungekuwa ule mwingine ni sawa kabisa.
 
Kuna msemo wa kisukuma 'kubutale kubwisangilo'-'ukubwani ni sehemu ya kukutania'

Hujaona mtu wa miaka 30 ana rafiki wa miaka 45+, na mambo yanaenda?
 
Kuna msemo wa kisukuma 'kubutale kubwisangilo'-'ukubwani ni sehemu ya kukutania'

Hujaona mtu wa miaka 30 ana rafiki wa miaka 45+, na mambo yanaenda?

aisee ufanye mpango uende kusalimia kwenu maana naona leo unatupa misemo ya usukumani tu. lol
 
Napima kwa umri kati ya mtu mzima na mtoto mdogo kitu ambacho mawazo yao ni tofauti

Kongosho;8147706]Unapimaje utofauti wa mwazo tu kulingana na umri? Je mawazo ni function ya umri peke yake?
 
Ni sawa as long as ninyi nyote mko matured na mna uwezo wa kufanya maamuzi tata bila kuathiri upande mwingine!

Kwa mfano mimi nina rafiki yangu vere vere besti ov mine, yeye ana sate siksi wakati mimi nna twente 3!
Kama kawa tunaishi na kusocializ kama kawa!
 
Back
Top Bottom