Inawezekana kuwa na Bank account ya fedha yoyote ya kigeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inawezekana kuwa na Bank account ya fedha yoyote ya kigeni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kang, May 13, 2009.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Najua unaweza ukawa na account ya USD, je nikihitaji account ya Norwegian krona kwa mfano, hilo linawezekana?

  Ahsanteni kwa msaada.
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu Kang,
  Kwa benki zetu za TZ wanakubali kuwa na akaunti kwenye only three giant currencies i.e USD, Euro na GBP. Kama uko Norway rafiki yangu inabidi ufungue akaunti ya USD au EURO wewe kila siku inabidi uwe unacheck hapa Norges Bank ili kama bei ikiwa nzuri unatuma kwa internet. Nasikia huko Benki ya Nordea ni bomba kabisa na kwa internet banking nasikia wako fit. Na benki nzuri kwa forex account kwa Bongo ni Exim. Hawana makato sana ukilinganisha na benki zingine. Hawana monthly charges na wanakupa faida ya 0.75 % p.a na uki-draw wanakata 0.1 % tu ya pesa unayochukua. Benki zingine kwenye hizi forex accounts wanakula hasa mpaka utachukia.
   
  Last edited: May 14, 2009
 3. M

  Mangoi New Member

  #3
  May 13, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pleaseee do not open account Standard Cherted Tanzania kama ni forex account utalia maana jamaa wanakula cha juu 3% everytume unapodraw ,hii ni noma hope utakua makuni na hili but kuhusu bank nyingine ,i don know the rate tehy charge when u withdraw ur own money.
  Thank
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mbali na hiyo 3 % charge wakati wa ku-draw pia huwa wanakula USD 10 kila mwezi. NBC wao hawana savings account kwenye Forex account wana Current account tu na wanakula UDS 20 kila mwezi plus charges wakati wa ku-draw, CRDB wanakula USD/Euro/GBP 2.5 (kama hawajabadili hivi karibuni) kila mwezi plus 1 % of the amount you draw.
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Asanteni wadau kwa elimu hii ya forex.........! I will soon do it...!
   
 6. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Mdau hujaanza tu, Hii inasaidia sana kuweka senti zako home.
   
Loading...