Inawezekana kuwa Bilionea Bongo bila kufanya haya mambo?

BM X6

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
1,360
4,149
Do you think kibongo bongo unaweza ukawa Tsh Billionaire bila,

-Kucheza na wanasiasa
-Kuhonga kushinda tenders
-Kusaka Free Grants
-Kuwa mwizi

Namaanisha, unafungua kampuni, unaingia sokoni, una customer service nzuri, wateja wanaelewa huduma na ukaweza kuweka Tsh 1B+ mfukoni?

Screenshot_20220607-181722.jpg
 
Ukinyooka Bongo hutoboi,,utakuwa na Maisha ya kawaida sana....

Ila Utajiri wa 1B+ lazima uwe mjanja mjanja,,,connection ya kueleweka...Pesa zipo kwa watu,,,ni kuwajua tu ndio mtihani
 
Do you think kibongo bongo unaweza ukawa Tsh Billionaire bila,

-Kucheza na wanasiasa
-Kuhonga kushinda tenders
-Kusaka Free Grants
-Kuwa mwizi

Namaanisha, unafungua kampuni, unaingia sokoni, una customer service nzuri, wateja wanaelewa huduma na ukaweza kuweka Tsh 1B+ mfukoni?View attachment 2253409
Kwanini unakimbilia uBillionea kabla hujawa millionea?
 
Unaweza kuwa na pesa ndefu kwa kujituma sana na jitihada zako ila hawa wenye njaa lazima yaje kuifanya biashara iwe na doa au uharamu uingie kwa njia nyingi

Kwanza the more you make ndio unazidi kujuana na wakubwa zaidi

Unapoanza utawajua ofisi za makusanyo ya kodi kama ofisi tu ila kadri unapozidi kukua na kulipa kodi unaanza kuona wanaanza mikwara na kutengeneza muonekano kama wao na sio ofisi tena

Hapo utaanza kuwajua majina yao unaanza kuwakata wa chini unaongea na boss
Taratibu utajiri unakuwa na wakubwa wanaongezeka na madili yanakuwa ya kikubwa wale wadogo wadogo wanakusikia kwenye Bomba

Ukiwa na B zako unaongea na wakubwa zaidi
 
Do you think kibongo bongo unaweza ukawa Tsh Billionaire bila,

-Kucheza na wanasiasa
-Kuhonga kushinda tenders
-Kusaka Free Grants
-Kuwa mwizi

Namaanisha, unafungua kampuni, unaingia sokoni, una customer service nzuri, wateja wanaelewa huduma na ukaweza kuweka Tsh 1B+ mfukoni?View attachment 2253409

Nenda ulaya tu
 
Umesahau bila kuwa na ndagu
Inategemea unatoka kanda au maeneo gani.Ndagu ni wa kanda ya kuleeee ambapo hata ukiwa tajiri lakini masharti unayopewa aheri ufe maskini mfano unaambiwa usile vizuri,usivae vizuri,usilale kitandani.
Sisi tunaotoka kanda ileee hatuamini hivyo vitu tunaamini kwenye elimu na uchapa kazi lakini kawizi ukipata gepu unafanya kidogo
 
Danganya watoto wadogo na wajinga nyie ndo wachawi nenda handeni uoe elimu ipi eti uchapakazi unajua wewe mabillionea dhuluma ,wizi, kula njama na wanasiasa,roho mbaya, kukwepa kodi ndo Siri yenu unajua elimu wewe ingekuwa elimu

Kama elimu mngemiliki viwanda vya magari na kutengeneza bidhaa Kama wenyewe kama USA ,china na nchi nyingine kubwa

Elimu ipi mnatumia zaidi ya kujiingiza kweny siasa muibe ruzuku na kuendeleza biashara zenu

Umetoka kwenye topic ..umeonyesha chuki zako waziwazi....jikite kwenye mada
 
Back
Top Bottom