Inawezekana kutumia PlayStation 3 kwenye Kioo Cha laptop?

NEMEZIZ

JF-Expert Member
May 23, 2017
563
335
Kwenu Wanabodi wa Jamvi hili,
Nimeleta uzi huu mahususi katika maswala ya teknolojia.Nije kwenye lengo la uzi huu, Wakuu mimi nilikuwa nataka kujuzwa je unaweza kutumia Playstation3 katika PC yaani nataka nitumie kioo cha PC(laptop) niunganishe Playstation 3 yangu.

Je kuna uwezo na kama upo ni upi? Maana nimefatilia na nimeona kuna adapter ambayo inatumia lakini sikuelewa kabisa.

Asante.

AbraDavinci
 
Naomba mnisaidie wataalam kwanini players kwenye ps 3 sometime wanacheza kwenye perfomance mbovu sana wakat opponent anascore kirahisi mpaka unahis tatizo ni pad kumbe sio?? And what is the remmedie?
 
Sasa hao players si Ni wewe au!??

Uko level gani kwanza beginner au Amateur?
 
Naomba mnisaidie wataalam kwanini players kwenye ps 3 sometime wanacheza kwenye perfomance mbovu sana wakat opponent anascore kirahisi mpaka unahis tatizo ni pad kumbe sio?? And what is the remmedie?
kama unacheza league basi kuna wachezaji kuchoka, wewe kutumia mfumo tofauti na uliozoeleka au mfumo unaowatesa, pia inategemea wewe unacheza aina gani ya mpira kama ni passes au long balls na counter attacks......

Chagua mifumo miwili ndo uwe unaitumia, kama huskip basi tumia kikosi b wakkat wengine wanapumzika
 
Mkuu habari, hivi naweza pata gaming pc ya kupeleka pes2020 au fifa2020 kwa laki 5 na inatakiwa kuwa na specifications zipi?

pia kwa dar discount shop gan naweza pata?
Desktop? Unapata kirahisi, ila laptop ni za kuchagua,
 
nilikuwa nataka laptop mkuu, au niandae bei gani na specifications za pc ziwe vipi?
Tafuta i5 gen ya 6 ama ya 7 used kwa budget hio unapata, utacheza pes 2021 kwa low setting.

Cpu husika ni i5 6200u na i5 7200u.

Ram inatakiwa angalau 8gb, sema unaweza ukanunua laptop ya 4gb ram na kuongeza baadae.
 
Back
Top Bottom