Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 912
Habari ya jioni ndugu zanguni nilikua naomba kuuliza picha ya kuscani inakuaje pindi pale unapochora kwa pencil na kuuscani katika Epson printer au photocopy machine.
Kwa maana nilijaribu kuscan picha flani hivi niliyokuwa nimeichora kwenye hp 3510 Deskjet matokeo hayakua mazuri kabisa lakini kwa peni mambo yalikua sawa Sasa jamani naomba mwenye uelewa naomba anifahamishe.