issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
Inawezekana kurisit somo ambalo hapo awali hukulifanyia mtihani......Msaada Jamani
Form 4form 4 au form 6
kwa nijuavyo mimi.. kurisiti ni masomo yale umefanya ukaharibu ila nimepata kidokezo kuwa kwa form 4 ukirisiti unafanya pepa masomo yote.. yaan wanafuta watokeo ya awali wanaanza upya..!!!!Form 4
kwa nijuavyo mimi.. kurisiti ni masomo yale umefanya ukaharibu ila nimepata kidokezo kuwa kwa form 4 ukirisiti unafanya pepa masomo yote.. yaan wanafuta watokeo ya awali wanaanza upya..!!!!
Msidanganyane kinadharia. Nisikilize mimi kiuhalisia. INAWEZEKANA KISHA INAWEZEKANA BILA KIKWAZO CHOCHOTE.Inawezekana kurisit somo ambalo hapo awali hukulifanyia mtihani......Msaada Jamani
Nashukuru sanaMsidanganyane kinadharia. Nisikilize mimi kiuhalisia. INAWEZEKANA KISHA INAWEZEKANA BILA KIKWAZO CHOCHOTE.
MIMI MWENYEWE nilipokuwa SC 2012 nilisajiliwa masomo tisa. Yani;
Eng, Kisw, Geo, Math, Civ, Bio, Hist, Com, na B/keeping. Japo Com na B/keeping sijafanya.
Nilivyorisiti 2016 nilifanya masomo 8. Yaani Eng, Kisw, Bio, Geo, Math, PHYS, CHEM, na ISLAMIC.
Nashangaa kweli mtu akiropoka bila uhakika wala kufwatilia. Mnampotosha mwenzenu aliyeuliza.
Kisha mtoa mada andika kichwa cha habari kinacholandana na mada husika. Japo huu uzi niliuona muda mrefu, ila nikaupotezea. Nimefungua kwa bahati mbaya, ndipo nikagundua nina uwezo wa kutatua swali lako.