Inawezekana kupona Hernia bila upasua - Case study China

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
http://herniasymptoms.net/hernia-symptoms-and-signs/

Symptoms of hernias may suddenly appear, but also may develop gradually. Painful sensations can vary considerably – from no to severe pain. Hernia symptoms should include the presence of convexity in the groin, chest, thigh, and scrotum. Convexity can disappear in a prone position and act more while coughing.
Another symptom of hernia is a burning sensation, pressure, local pain where it has appeared. The pain may also occur when lifting heavy things, coughing, as well as during any strong muscle tension. Any hernia symptoms described below should serve as a pretext for a visit to the doctor in order he made diagnosis and prescribed treatment.


BULGE

Hernias are, by definition, a defect in the muscle container of the abdominal wall. That is, they are a gap, hole or defect in the abdominal wall. As a result of this hole or defect, the contents of the abdominal cavity, such as intestine, fat and other organs, may tend to be push through this hole by the normal pressure that occurs within the abdomen. As this material pushes through the hernia defect, a bulge or localized area of swelling will become evident beneath the skin of the abdominal wall. Since there are many Types of hernias, the site of this bulge will vary according to the type of hernia and location of the hole or defect. With activity such as exercise, coughing, lifting and straining etc., the pressure within the abdomen increases. As a result, more abdominal contents tend to push through the hernia defect, and the bulge gradually increases in size.





.

PAIN

Pain occurs from hernias for several reasons, and can and does often vary in character (sharp, dull, burning etc.) and severity from patient to patient. Pain can occur because the tissue at and around the hole is being stretched or torn and therefor in some fashion damaged. This usually will cause pain directly at the site of the hernia and is Localized Pain. Pain may also occur as a result of irritation of or damage to area nerves as a result of the hernia and its contents pushing into or pinching the nerves. This too may cause localized pain, or may cause pain at a more distant area and is called Referred Pain. If the abdominal contents have become trapped or damaged within the confines of the hernia, as is the case with hernia Incarceration or Strangulation, the pain may well become more generalized in location and may even involve the entire abdomen if secondary peritonitis develops.


  • .
  • LOCALIZED PAIN
  • Pain, localized to the area of the hernia defect itself is usually the result of stretching and tearing of the abdominal wall tissue such as the area muscle and tendon.As the bulge increases, this pain tends to be more intense. As the bulge reduces, and the contents of the hernia fall back into the abdominal cavity itself, the pain reduces or perhaps even disappears, only to recur again as the hernia once again protrudes. The character of the pain varies. It may be a severe, intense and sharp type pain, or it may be only a dull ache in the area. Other potential characteristics include burning, stinging and "raw sensation" type of pain.



  • .
  • GENERALIZED PAIN
  • If the contents of the hernia become trapped or Incarcerated, the intestine's blood supply may become compromised or shut off. Tissue within a hernia who's blood supply is pinched off is said to be Strangulated. As a result of Strangulation, because of a lack of blood and oxygen, this tissue will progressively die. This may, in addition to causing localized pain, cause a more Generalized pain throughout the abdomen. This pain is relatively severe and unremitting, but at times also has 'colicky' over-current episodes of discomfort. Unlike the pain associated locally with the hernia, this pain is not at all relieved by rest.



  • .
  • REFERRED PAIN
  • If the hernia irritates, inflames or damages nearby nerves, the pain felt from the hernia may not be at the site of the hernia, but rather at the area to which these nerves are traveling. For example, pain from an Inguinal Hernia may be felt as discomfort in the scrotum of men or the labia of women, or the back, upper leg and /or hip area. This is because nerves that supply sensation to these remote areas travel through the inguinal canal (site of the hernia) and may therefore be irritated or inflamed by the hernia itself.






.

NAUSEA and VOMITING

When intestine becomes trapped within the hernia (Incarceration), the normal flow of food through the intestine becomes blocked. This creates a progressive back-up within the intestine and may result in nausea and vomiting. If, as a result, the intestine is only partially blocked, nausea (without vomiting) and poor appetite may be the result.





.

CONSTIPATION

If the intestine is blocked within the hernia, and normal flow of food contents and subsequently feces is blocked, the patient may develop constipation





.

URINARY SYMPTOMS

If the bladder becomes entrapped within a hernia (usually an Inguinal Hernia, but also possibly a Femoral Hernia), urinary symptoms such as hesitancy, frequency, urinary burning, frequent infections, bladder stones etc., may all occur.





.

OTHER SYMPTOMS

Other Symptoms that can result develop as a result of a hernia can include:
  • Impotence (inability to develop or maintain an erection)
  • Loss of Ejaculatory Function (rare)
  • Dyspareunia (Painful intercourse) in females
  • Localized Inflammation (of overlying skin at site of bulge)
 
Yawezekana wabongo wengi wana ngiri sema tatizo ni kuigundua, pia wtaalamu wa kuigundua ni finyu mno. Mleta mada tuelekeze ni wapi kuna mtalaam wa ngiri
 
Mtoto wangu alizaliwa mwaka 2008 mwezi Nov akiwa na tatizo ambalo madaktari walilieleza kuwa ni hernia. Tatizo hili linatibiwa kwa upasuaji ila inabidi mtoto akue kidogo kama miaka 3 -5 ndo afanyiwe upasuaji huo.
Nimeshangaa sana baada ya kumpeleka hospital iliyoko jimbo la Shaanxi kwenye mji wa Xi'an ameweza kutibiwa bila upasuaji wowote. Alipewa dawa ya kunywa na kufunga nje (moja kwenye kitovu na nyingine kwenye eneo la karibu na sehemu yake ya kiume [hii ilifungwa na mkanda maalum]). Ninapenda kushukuru kuwa mtoto amepona baada ya siku 20 ya kutumia dawa.
Teknolojia hii ni bei nafuu sana na aina maumivu wala usumbufu. Naomba watanzania hasa wakemia tuwasiliane ili mfanye uchunguzi wa dawa hizi kujua kilichomo ili tuzitengeneze Tanzania kusaidia kizazi kijacho. Nilichukua dawa hizo in excess ili tuzichunguze
 
Assnte mkuu lakini mbona hujaandika hizo dawa kwa lugha ya kichina na kizungu zinaitwaje? zipo dawa mitishamba zinazosaidia kwa ajili ya matatizo ya huo ugonjwa wa Hernia au kwa jina la kiswahili inaitwa ngiri. .Ngiri ipo ya aina mbili ya ndani ndio inayoitwa hernia ipo chini ya tumbo karibu na sehemu ya utupu wako na ingine ya kushuka mshipa wa ngiri ile ya kushuka kwa nje ndio inayofaa kufanyiwa Upasuaji na ile ya ndani inawezakutibika kwa waganga wa kienyeji au kwa wamasai.
 
Poleni na majukumu wakuu,,,kuna mtu wangu wa karibu anatakiwa afanyiwe operesheni ya hernia,,,,nilikua nataka kujua inagharimu shs ngapi na ni wapi wanatoa huduma hiyo ??
 
Poleni na majukumu wakuu,,,kuna mtu wangu wa karibu anatakiwa afanyiwe operesheni ya hernia,,,,nilikua nataka kujua inagharimu shs ngapi na ni wapi wanatoa huduma hiyo ??

Upo mkoa gani? Kila hospitali ya mkoa husika wanafanya operation ya hernia. Hivyo nenda hospitali utaambiwa bei yake.
 
mgonjwa yupo dar

Ukitaka huduma ya haraka (Fast track) nenda muhimbili lakini jiandae na kama laki 7 na zaidi hivi mgonjwa wako atafanyiwa hiyo operation hata wiki ijayo, ila kama utataka huduma ya Grade 4, hapo mkuu lazima usugue benchi (ila bei haitazidi laki 2) tatizo utasubiri sana. Kwa hospitali zingine hizi za jiji sijui bei zake labda uende kuulizia huko. Pole sana mkuu.
 
The great camp umempa maelezo ya kutosha. Ukitaka vya rahisi utasubiri list ya Julai mwakani kabla haijaahirishwa tena. Fast track ukiwa na daktari wako hata jumamosi au jumapili anapiga procedure unaenda wodini aafu unaruhusiwa ndani ya muda mfupi.
 
Mtoto wangu alizaliwa mwaka 2008 mwezi Nov akiwa na tatizo ambalo madaktari walilieleza kuwa ni hernia. Tatizo hili linatibiwa kwa upasuaji ila inabidi mtoto akue kidogo kama miaka 3 -5 ndo afanyiwe upasuaji huo.
Nimeshangaa sana baada ya kumpeleka hospital iliyoko jimbo la Shaanxi kwenye mji wa Xi'an ameweza kutibiwa bila upasuaji wowote. Alipewa dawa ya kunywa na kufunga nje (moja kwenye kitovu na nyingine kwenye eneo la karibu na sehemu yake ya kiume [hii ilifungwa na mkanda maalum]). Ninapenda kushukuru kuwa mtoto amepona baada ya siku 20 ya kutumia dawa.
Teknolojia hii ni bei nafuu sana na aina maumivu wala usumbufu. Naomba watanzania hasa wakemia tuwasiliane ili mfanye uchunguzi wa dawa hizi kujua kilichomo ili tuzitengeneze Tanzania kusaidia kizazi kijacho. Nilichukua dawa hizo in excess ili tuzichunguze
Mkuu mbona hujaleta ushahidi alitumia dawa gani ya kichina? Mtoto wako?
 
Nenda muhimbili kuna kitengo cha tiba mbadala. Sina hakika ofisi yao iko wapi. Ila sasa wewe sio mtafiti, usianze kuganda hilo dili bwana.
 
Ukitaka huduma ya haraka (Fast track) nenda muhimbili lakini jiandae na kama laki 7 na zaidi hivi mgonjwa wako atafanyiwa hiyo operation hata wiki ijayo, ila kama utataka huduma ya Grade 4, hapo mkuu lazima usugue benchi (ila bei haitazidi laki 2) tatizo utasubiri sana. Kwa hospitali zingine hizi za jiji sijui bei zake labda uende kuulizia huko. Pole sana mkuu.
Nataka hii huduma kwa mwanza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom