Inawezekana kupata wapenzi wawili wa kike ndani ya wiki moja?

Taarifa hii haina uhusiano wowote na uzi huu ila ni vizuri kila Mtanzania afahamu kuwa jina la Hangaya lina maana ya nyota angavu ya asubuhi inayoonesha matumaini linasadifu nafasi ya Mhe. Rais Samia ambayo Watanzania wana matumaini makubwa kwa uongozi wake kwenye maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
View attachment 1957479
IMG_20210929_172911.jpg
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali

Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na demu mpya ambae hajawahi kuonana nae hata kwa siku moja na mpaka kuwa wapenzi ndani ya wiki moja inawezekana kweli ?????

Kama inawezekana Nambie mbinu gani za haraka kiasi hko mnatumiaga, personally inaweza pita hata wiki 2 kwa dem mmoja
IPO Sana hii hasa pale kila ukigeuza Shingo unakutana zile type unazozipendaga unaweza beba Kijiji Ila uwe Na ushawishi.
 
Back
Top Bottom