Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

WACHUMI JIBUNI mnawachia ****** wajibu utumbo.
Kwa wale wageni wa JF, hizo nyotanyota mwandishi atakuwa aliandika neno vi.la.za, kwa njia ya kawaida. Hilo neno ni tusi kubwa sana humu. Limeshapigwa "ban" sijui kwa muda gani? Hivyo ukitaka neno ki.la.za liosomeke /lionekane andika kama nilivyoandika.
 
Salaam wana jamvi,

Nina swali hapa, najua kuna wajuzi na wachambuzi, wenye majibu ju ya swali langu, sijui ni dogo au kubwa, wenye majibu ndio wanaoweza kujua:

Hivi, haiwezekani kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

Mfano:
Serikani ikatengeneza pesa mpya, ambazo ni pamoja na senti senti, halafu ikatangaza hata miezi mitatu kabla ya chenji, na chenji ikaja kufanyika bila mapumziko mpaka zote zichenjiwe kwa kuzishusha namba.

Yaani aliyekuwa na 10,000/=
Akichenji anapewa 1000/=

Aliyekuwa na 5000/=
Akichenji anapewa 500/=

Aliyekuwa na 50/=
Akichenji anapewa. 5/=

Hadi kurudi kwenye senti

Na Biashara zote zinunuliwe na kuuzwa kwa kuzingatia mfumo huo, kwa kuimarisha matangazo,

Je hii haiwezekani?
Au inaweza kuleta madhara gani?
Mkuu mimi sijasoma Economic ila nitajaribu kukujibu kwa mfano,
Chukulia mfano kuna baba ana vipande 10 vya Dhahabu na kila kipande kina 10kg hivyo jumla ana 100kg ya Dhahabu.At the same time huyu baba ana watoto 10 hivyo akaamua atengeneze coupon 10 na akawagia wale watoto kila mmoja coupon 1 na akaamua kuwa kila atakayeleta coupon 1 atapata kipande kimoja cha dhahabu( 1 coupon=10kg ya dhahabu) na watoto wapo 10 tu kwa hyo watatosheleza kugawana zle 100kg za Dhahabu.Baadae wale watoto kila mmoja akaoa hvyo jumla sasa watoto na wakwe wakawa 20 badala ya 10,hivyo bas yule baba akaamua tena atengeneze coupon nyingine 10 jumla ziwe 20 coupons,lakin sasa safari hii akaamua na itabid kila coupon 1 iwe na uwezo wa ku exchange kwa 5kg of Dhahabu badala ya 10kg(1 coupon=5kg,watu wapo 20 hivyo 20x5 unapata zile zile 100kg).Mwisho wa mfano,sasa hii ina maanisha nini?kumbe bas thaman ya kla coupon itegemea thaman ya utajir alionao yule baba(hapa namaanisha zle kg 100 za dhahabu).Kwa hyo ndyo hvyo kama nchi ina utajir mkubwa bas hata hela(mfano wa coupon)itakuwa na thaman kubwa sana na kinyume chake nchi ikiwa haizalish kwa wing itabid hela zake(kwa mfano wangu coupon) ziwe na thaman ndogo.
Nazan waliosoma Uchumi wataelezea zaid maana sna uelewa sana na hayo mambo.
 
Umemalizia vema.
Maana sijaelewa mfano wako naona kama unatofautiana kidogo na hoja yangu.

Kuponi zimegaiwa zimeisha,(fedha)
Dhahabu zimegaiwa zimeisha.(mali au bidhaa)

Huko ulikoedelea kunakufanya kuchepuka nje ya mada

Sasa hapa hoja ni kwamba atakaekuja na ile kuponi moja iliyokuwa na uwezo wa kubadilishwa kwa 10kg ya dhahabu, sasa kuponi ile ile, ina thamani ya 20kg, ndicho nilichosema mimi!
 
Safari Safi , nchi ya Uturuki iliwahi kufanya hiyo kitu unayozungumzia kama miaka 10 iliyopita hivi, inaitwa ''revaluation of the currency''.. Wao waliifanyia hivyo sarafu yao ya LIRA na wakafanikiwa, ilikuwa imeanguka thamani balaa..
 
Zambia pia walifanya,mwaka 2012 Zambia kwacha ilikua 1USD=ZK 4,850 ila kwa sasa hivi 1USD=10ZK,wanaitaga kuondoa zero's,sasa shughuli ipo kama nchi haijajipanga after a few period zero zinarud kwa kas ta ajabu!Mugabe alishafanya sana huu mchezo had akanyoosha mikono akaamua kubaki kutumia USD,Rand na RMB ya uchina
 
Umemalizia vema.
Maana sijaelewa mfano wako naona kama unatofautiana kidogo na hoja yangu.

Kuponi zimegaiwa zimeisha,(fedha)
Dhahabu zimegaiwa zimeisha.(mali au bidhaa)

Huko ulikoedelea kunakufanya kuchepuka nje ya mada

Sasa hapa hoja ni kwamba atakaekuja na ile kuponi moja iliyokuwa na uwezo wa kubadilishwa kwa 10kg ya dhahabu, sasa kuponi ile ile, ina thamani ya 20kg, ndicho nilichosema mimi!
Coupon 1 ikiwa itabidilishwa kwa 20kg kwa ulivyosema hapo itakuwa ngumu maana ukumbuke jumla ya Dhahabu na uwezo wa baba ni 100kg tu(vipande 10),so uksema kla coupon iwe na uwezo wa kubadilisha kwa 20kg itabid coupon ziwe 5 tu(kwa kuangalia uwezo wa dhahabu alionao baba) wakat watoto na wakwe jumla yao wapo 20 so utaona kuwa katika mzunguko watoto 15 watakosa kuwa na coupon.Kumbuka lengo la baba kwenye huu mfano sio tu watoto wa exchange vipande kwa coupon na baba peke yake bali hata wao kwa wao wawe na uwezo wa ku exchange.
 
Hatutafuti wingi wa watoto na thamani watakazokuwa nazo, tunakusudia kubadilisha thamani ya kuponi tu,
 
Salaam wana jamvi,

Nina swali hapa, najua kuna wajuzi na wachambuzi, wenye majibu ju ya swali langu, sijui ni dogo au kubwa, wenye majibu ndio wanaoweza kujua:

Hivi, haiwezekani kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

Mfano:
Serikani ikatengeneza pesa mpya, ambazo ni pamoja na senti senti, halafu ikatangaza hata miezi mitatu kabla ya chenji, na chenji ikaja kufanyika bila mapumziko mpaka zote zichenjiwe kwa kuzishusha namba.

Yaani aliyekuwa na 10,000/=
Akichenji anapewa 1000/=

Aliyekuwa na 5000/=
Akichenji anapewa 500/=

Aliyekuwa na 50/=
Akichenji anapewa. 5/=

Hadi kurudi kwenye senti

Na Biashara zote zinunuliwe na kuuzwa kwa kuzingatia mfumo huo, kwa kuimarisha matangazo,

Je hii haiwezekani?
Au inaweza kuleta madhara gani?
Salaam wana jamvi,

Nina swali hapa, najua kuna wajuzi na wachambuzi, wenye majibu ju ya swali langu, sijui ni dogo au kubwa, wenye majibu ndio wanaoweza kujua:

Hivi, haiwezekani kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

Mfano:
Serikani ikatengeneza pesa mpya, ambazo ni pamoja na senti senti, halafu ikatangaza hata miezi mitatu kabla ya chenji, na chenji ikaja kufanyika bila mapumziko mpaka zote zichenjiwe kwa kuzishusha namba.

Yaani aliyekuwa na 10,000/=
Akichenji anapewa 1000/=

Aliyekuwa na 5000/=
Akichenji anapewa 500/=

Aliyekuwa na 50/=
Akichenji anapewa. 5/=

Hadi kurudi kwenye senti

Na Biashara zote zinunuliwe na kuuzwa kwa kuzingatia mfumo huo, kwa kuimarisha matangazo,

Je hii haiwezekani?
Au inaweza kuleta madhara gani?
Hapo ndugu hakuna logic uchapishe manoti mengi uchumi utakuwa mzuri,unakiona kinachotokea Kule kwa mzee wetu mzuri mgabe wa Zimbabwe yaani MTU anakwenda na milioni kununua chips sahan 1
 
Salaam wana jamvi,

Nina swali hapa, najua kuna wajuzi na wachambuzi, wenye majibu ju ya swali langu, sijui ni dogo au kubwa, wenye majibu ndio wanaoweza kujua:

Hivi, haiwezekani kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

Mfano:
Serikani ikatengeneza pesa mpya, ambazo ni pamoja na senti senti, halafu ikatangaza hata miezi mitatu kabla ya chenji, na chenji ikaja kufanyika bila mapumziko mpaka zote zichenjiwe kwa kuzishusha namba.

Yaani aliyekuwa na 10,000/=
Akichenji anapewa 1000/=

Aliyekuwa na 5000/=
Akichenji anapewa 500/=

Aliyekuwa na 50/=
Akichenji anapewa. 5/=

Hadi kurudi kwenye senti

Na Biashara zote zinunuliwe na kuuzwa kwa kuzingatia mfumo huo, kwa kuimarisha matangazo,

Je hii haiwezekani?
Au inaweza kuleta madhara gani?
Msumbiji wamefanya hivyo, sasa noti kubwa ni mitikashi 1000.
Wenye ujuzi watadadavua zaidi...
 
Hatutafuti wingi wa watoto na thamani watakazokuwa nazo, tunakusudia kubadilisha thamani ya kuponi tu,
Kubadilisha coupon ili iwe na uwezo wa kununua vipande ving(yan mfano 100 iwe sawa na labda tuseme 10,000) itabid utajiri wa baba uongezeke,chukulia mfano baba alivyokuwa na jumla ya Dhahabu yenye 100kg(vipande 10) na watoto 10 kla coupon ilikuwa na uwezo wa ku exchange kwa 10kg,sasa mfano baadae utajir wa baba ukaongezeka na kufikia dhahabu yenye 200kg(vipande 20 na kla kimoja kna 10kg) na watoto 10 itabid kla coupon iwe na uwezo wa ku exchange kwa 20kg(kama ulivyotaka wewe sasa)..sasa bas hii ina maanisha kwamba itabid nchi iwe na uwezo wa kuzalisha zaid ili ile hela yake iwe na thaman zaid kama ulivyoona hapo juu tulivyobadlisha thaman ya coupon ikawa kubwa,kwa mfano angalia hata wenzetu kenya wao 100 yao ina nguvu kuliko hata elfu 1000 yetu kwa maana kwamba wanazalisha zaid in terms of industries kuliko sis(kama nmekosea nisahihishwe hapa).
 
Back
Top Bottom