Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

Kwa hiyo mnaiga siyo?
Kwakuwa kuna suala fulani, basi mengine yasijadiliwe? Mbona tuliambiwa kupitia umeme wa gas tutapata 5,000mg, inakuwaje tumeachana na umeme wa gas hata hatujafikia 2,000, lakini tumerukia umeme wa maji wa 2,115mg?
 
Unapewa mlungula, halafu anayekupa mlungula anaenda kukuchongea kwa Kigogo akulipue umekula mlungula.

Lazima raia wachanganyikiwe na kuona hakuna anayefaa.

Safari ya Kilwa imeishia Mivinjeni.
Jiwe ni Machiavelli.

hahaha, ameamua kuwadiscredit wapinzani kwa tactic ya kuwaonyesha wananchi kuwa hawa jamaa nao ni wachumia tumbo kama wenzao waliomo ndani ya CCM kwa hivyo msiwaamini kivile!
 
Huu uzi una mambo mengi sana.

Wisto blower

Upinzani

Rushwa grandi

Twitter

Matanga

Hivi mleta mada una nini?
 
Jiwe ni Machiavelli.

hahaha, ameamua kuwadiscredit wapinzani kwa tactic ya kuwaonyesha wananchi kuwa hawa jamaa nao ni wachumia tumbo kama wenzao waliomo ndani ya CCM kwa hivyo msiwaamini kivile!
Sahihi kabisa kaka.

Toka limeanza sekeseke la Wapinzani kuhamia CCM, Upinzani walikuwa wanafanya kosa kubwa kuuza utetezi kuwa wamenunuliwa. Hii ilikuwa inawajengea taswira ya kutoaminiwa na wananchi. Kama katibu mkuu wa chama ananunuliwa, nani wa kumuamini? Huu mkakati Magufuli amefanikiwa sana.
 
Unapewa mlungula, halafu anayekupa mlungula anaenda kukuchongea kwa Kigogo akulipue umekula mlungula.

Lazima raia wachanganyikiwe na kuona hakuna anayefaa.

Safari ya Kilwa imeishia Mivinjeni.
Tatizo ni ujinga! Chadema wamejaa wajinga tupu. Ku reason ni msamiati mgumu kwao.
 
Ila chadema kwasasa imekua ngumu sana kuaminika haya yanayofanyika. Ngumu kweli kweli
 
Sahihi kabisa kaka.
Toka limeanza sekeseke la Wapinzani kuhamia CCM, Upinzani walikuwa wanafanya kosa kubwa kuuza utetezi kuwa wamenunuliwa. Hii ilikuwa inawajengea taswira ya kutoaminiwa na wananchi. Kama katibu mkuu wa chama ananunuliwa, nani wa kumuamini? Huu mkakati magufuli amefanikiwa sana.
Upinzani halisi wa nchi hii ni : "Ni shida na changamoto za watu"

Ndio maana kila mwanasiasa anayejikita hapo anapata ufuasi.

Kuanzia Mrema, Lipumba, Slaa, Lowassa na Lissu.

Kukosa ufuasi tafsiri yake ni kwamba huzungumzi tena hizo changamoto za watu.

Kwa lugha nyingine wananchi wanaamini watapata mbadala wa CCM kupitia kura, ikishindikana au ikionekana kura siyo suluhisho kitakachokuata ni alternative, yaani Machafuko
 
Mwaga mchele mnyetishaji wetu...tumechoka kushabikia mamluki wa siasa

Tunataka walewalio na moyo safi kwa ukombozi wa nchi hii,

Vuguvugu la mabadiliko halishindwi na hao mawakala wa rushwa na wasaliti
 
Back
Top Bottom