Mkuu nimerudia kusoma hii comment yako sasa hivi ni mara ya kumi najikuta nacheka sana. Nilikuwa na ki stress lakini naona kime dissappearKwa Africa ni adimu sana na ni sawa kutafuta tako la jongoo.In short jamii yoyote yenye sifa ya njaa mara nyingi utu huwa hamna.Atakupenda kweli ila baada ya muda watamshauri utumbo then atakubalikia in long run.
AFRIKA MWANAMKE KUMPENDA MWANAUME HATA KAMA HANA HELA MARA NYINGI HUYO MWANAMKE ATAKUWA SIO MZURI(SURA KAMA GENERATOR AU UKOKO WA MAKANDE)