Inawezekana kum-date rafiki yako wa siku nyingi?

reggie8219

Member
Jun 5, 2014
14
4
Nimekua nikiuliza swali hili mara nyingi kwa watu mbalimbali. Kati ya majibu mengi, wengi wamekua wakisema kwamba unapoanza kumtaka rafiki yako wa siku nyingi kimapenzi ni sawa na kutaka urafiki uvunjike na mkosane kimoja. Mnapokua wapenzi baada ya kutoka kwenye urafiki wa siku nyingi, mnaanza ingia kwenye mifarakano ambayo inasababisha mkosane kimoja na kuvunja kabisa urafiki wenu. Je ni kweli? Na ni kwa njia gani utamwelewesha rafiki yako wa siku nyingi kwamba umempenda kimapenzi bila kukosana? Na mkishakubaliana kuanza mapenzi, nini mfanye kuepuka mifarakano inayoweza kuwakosanisha kimoja?
 
Mm marafiki zangu wa kike huwa nagonga bila kutongozana ...yaan kimya kimya baada ya hapo ndo story zingine huendelea...
 
Ndo maana huwa sina marafiki wa kike maana mwisho wake kudonoana tu
 
Duu... na bahati nzuri aelewe izo sound!! Laa sivyo utakuwa na hali ngumu
 
Kwani siku hizi bado watu wanatongoza???
Yaani mnakuwa marafiki mwisho wa siku anashtukia dushe limezama ndani
 
Back
Top Bottom