Inawezekana kujenga nyumba hii kwa millioni 14

Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.

View attachment 1965447
Kutegemeama na eneo ulipo. Unaona hii Iko uwanda tambarare so msingi wake sio gharama kubwa. Kuhusu Boma ni sawa na hizo bati Gauge 30. So kama unataka kujenga kama hii jipange kwa 16M makadirio.
 
Million kumi na Sita si kuhamia kabisa
 
Bongo humu mtandaoni huwa mnaongepeana Sana kuna sehemu nilimpa Ramani mtu akaniambia hiyo nyumba mpaka iishe andaa milioni 30 nikaona huyu ananizingua nimekuja kujenga nyumba hiyo hata 12 milioni haijaisha mfano hapo KWA nyumba kama hiyo ni tofali 2000 na hayo ni makadilio ya juu Sana ila mtu anashindwa hata kujiongeza wewe hapo andaa milioni 10 inaisha hiyo
 
Watu wanakatisha tamaa
 
Watu wanakatisha tamaa
bro watu wanakupa uzoefu wao hlf wewe unasema unakatishwa tamaaa, haiko ivo mkuu inabidi usome michango yote ya wadau hlf wewe mwnyw ndo utachuja nini cha kufanya...kwa mfano hiyo pesa kwa huku zenji utaishia kuwa na boma tu, tn inawezekana lisifike kwenye linta pesa ishakata.
 
Huku Bara ni tofauti

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nataka kuanza maisha naye nikipaua na niweke wiring na plumber nyumba tayari
Acha uoga hiyo nyumba m 14 inatosha wala usiogope mm nimejenga kwa m 9 bila plasta madirisha mlango blandaring, hiyo m9 mpaka shimo la choo masink mfumo wa umeme kwenye hiyo mil 9 nyumba ya vyumba viwili vyote master sitting room na jiko na mm uwanja ni slop haswaa kozi 15 msingi
 
Na jaribu December wakati wa vacation
 
Fundi wangu kani ambia vyumba viwili na sebule kama hii million 14 inatosha na mimi naogopa hela ikatike njisni nibaki pagale ushauri wenu wadau.

View attachment 1965447
Huyo fundi atakuua! In fact hiyo gharama ni kubwa sana, kwani kiujenzi, matofali mia nne (400) unapata chumba kimoja cha vipimo standard! Kwa vyumba viwili ni matofali mia nane (800) na sebule labda kwa vile ni kubwa basi kisia matofali mia nane (800) kwa hiyo ni matofali 1600 au shilingi 1,600, 000/=. Haya wengine dadavueni hiyo gharama kutoka kwenye taarifa yangu hii. Asanteni.
 
Back
Top Bottom