Inawezekana kuishtaki NSSF kwa kutolipa mafao ya wanachama?

UKARIMU

Member
Aug 6, 2020
9
8
Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi?

Naomba kufahamu hili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom