Inawezekana kufanya biashara ya kuuza Fresh Juice kwenye sherehe mbalimbali?

isyesye

Member
Aug 14, 2016
51
21
Habari wakuu!

Katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia.

Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi, Send-Off na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji mbalimbali vikali na laini.

Hivi is it possible kwa kufanya biashara ya fresh juice katika sherehe kama hizo?

Nawasilisha
 
Habari wakuu katika harakati za kuongeza kipatao kuna wazo likanijia.
Mara nyingi tumezoea kwenye sherehe kama harusi,sendoff na sherehe kama hizo za nyakati za usiku kunakuwa na vinywaji mbalimbali vikali na laini.
Hv is it possible kwa kufanya biashara ya fresh juice katika sherehe kama hzo.

Nawasilisha
Si rahis. Wahudhuriaji wengi wa hizo tafrija huwa wametoa michango so wakifika kweny event ni kula na kunywa. Sidhani kama kuna mtu yupo tayar kutoa hata sh. 500 kwa ajili ya kinywaji binafsi.

May be uongee na wenye event kuwa iyo juice yako iwe moja ya kionjo. Au item kweny meal package yao
 
Goood idea chief nawaza fanya ivo
 
Back
Top Bottom