Inawezekana kucheki movie kwenye tv kwa kutumia Card Reader yenye memory card badala ya kutumia flask disk?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,559
12,682
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie.

Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu. Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
 
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie.Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu.Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
Yes
 
Hauna haja ya kuangaika na kadi rida zile Bapa nunua kadi rida zinazofanana na flash tumia kama flash kwa kuchomeka memory card.

Otherwise nunua hdmi kama tv inasupprt hdmi
 
Ndio mkuu namaanisha zile card zilizo kama flash.Hivi huwa zinauzwaje? na zipi pengine zina ubora
 
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie.Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu.Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
Issue hapa ni hata kama utanunua sd card nayo ukiuziwa kimeo cha class 4 ni yale yale tu itascratch.

Flash ya USB 3.0 yenye mbps za kutosha itaplay Full HD mpaka 4k

Pia ku scratch ku naweza tokea ikiwa uwezo wa TV hauplay format husika, ni vyema uka Google specs za TV yako ili ujue ni Aina gani za video unapaswa kudownload. Mfano kama TV haisupport x265 uki download video zake zitanata nata.

Kuhusu memory card nzuri, Niliwahi pitia epiccomputers wanazo SanDisk extreme, Sema bei ndefu 40k kwa 64GB, pia maduka ya camera most of times wanakua nazo oG, ni vyema pia ukajua mwenyewe ku benchmark hizo memory card, class 10 zinakuwa na 10mB/s kupanda.

Pia jambo jengine incase memory card haisomi, iformat kwenda NTFS ama FAT32, si TV zote zinasoma Exfat ambayo ni default kwenye memory card.
 
Memory card ninayo ambayo iko faster niliiagiza ali Express inafanya kazi ma miniature camera kwenye spec za hii camera inasema inafanya kazi na memory yenye high speed.Kwa swala la memory card sina shaka pengine card reader ndio izingue.Mara kadhaa nimeitumia hii memory kuangalia movie lakini ikiwa kwenye camera na simu.ila sasa ndio nilikuwa nataka niitumie na card reader.Ishu ni kwamba sihitaji kutumia flask disk tena.Hapa cha msingi ninahitaji kupata card reader ambayo ni the best.Maoni yako tena kwa mara nyingine yanatakiwa
 
Card reader rule ni ile ile mkuu, kama itatumia usb 2.0 ina maana mwisho ni 480mbps (60MBps) hivyo kama una Highend sd card yenye speed zaidi huta itumia kwa speed yote, Sema hata hio 60MBps inatosha kwa Movies za kawaida unless u naangalia Movies za 4K ama 8k.

Za usb 2 ni rahisi kuzipata, almost zote utakazopata mtaani ni usb 2.0. Ila usb 3.0 ambazo zina speed ngumu kuzipata.

Ukicheki online zimejaa kibao hapa Tz.

Huyu jamaa anaclaim yake ni usb 3.0

Namna ya kutest, Hakikisha una pc ama simu yenye cable ya otg.

Hamisha vitu kwenye simu kwenda memory card kwa njia ya kawaida soma speed yake mfano 20MBps

Then chomeka otg cable, weka memory card kwenye reader kisha chomeka kwenye simu Hamisha tena kitu Angalia speed kama ni ile ile ina maana ipo vizuri na haitakusumbua.
 
OTG cable unamaanisha hii usb cable tunachajia simu kwa kuunganisha kwenye usb port ya pc
 
Otg cable ni hii
Hd7b55174de38434e893e2e756ca13b21W.jpg_640x640Q90.jpg

Itakuwezesha kuconnect hio card reader na simu.

Kama una pc huna haja na hio cable test tu na pc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom