Inawezekana kuanza diploma kwa njia hii ?

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,132
Wakuu naomba kujuzwa ,mimi nataka kufahamu iwapo mtu umehitimu form IV na matokeo yako yanakuruhusu kwenda Advance na ukaaamua usiende advance na uende chuo ,jee Unaweza / unaruhusiwa kuanza diploma moja kwa moja ?
 
Soma Diploma hata kama ni miaka mitatu utakuwa na uhakika wa unachokifanya, mimi nilitoka O-level na point 5 kwenye combination yaani Physics A, Biology B na Chemistry B nikapelekwa shule iliyokua ns migogoro balaa.

Walimu walikimbia tukabaki tunatangatanga na mwishowe tukaangukia Dv 3 mbaya. Tulichekwa na vilaza tukaonekana tulikwenda kucheza advance kumbe changamoto za hizi shule zetu kongwe.

Nilijuta kwenda advance na ndipo nilipoomba kusoma Diploma ya Business Administration kwa cheti cha form four, na baadae degree ya hiyo kozi niliyosoma diploma.
 
Kwahyo mkuu Diploma kutokea O level Ni miaka 3 na cyo 2 ?
 
Inategemeana na kozi unayochukua, kuna kozi kama Clinical medicine lazima usome miaka 3 ila kozi yangu nilisoma miaka 2.
 
Back
Top Bottom