Inawezekana kabisa Tv1, ndo yenye wandishi bora Tanzania

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,849
Habari za kutwa wana Jf?
Nimekuwa nikifatilia taarifa za habari hapa Tanzania kwenye Television,nikagundua,wandishi wa Tv1, wanaripoti katika kiwango cha kimataifa,hasa kwenye habari za kimataifa,tofaut na wengine ambao wanakopy pest,sema wandishi hao wanabanwa na muda mdogo wa habari zao,
Sijui wenzangu mnalionage swala hili?
 
Jamaa nawakubali hasa habari za kimataifa wako vizuri sana kuna jamaa ana vocal Pana na analeta habari za mbele kama Samadu
 
Back
Top Bottom