Inawezekana hivi jamani..............

manushiboy

Member
Aug 3, 2011
34
9
Kweli demu wako akikuacha akaolewa alafu tukio hilo alikufahamisha ukakubali aolewe, sasa anarudi anakuambia eti siku hadi siku hawezi kuishi na mme wake kwani anakuhitaji aishi na wewe, akidai eti wewe ndie chaguo lake la kweli, what is opinion my people???????
 
ameona mambo kule magumu anarudi kwako.............kama wewe ulikuwa chaguo lake kilichosababisha kuolewa na mtu mwingine ilikuwa nini......ana tamaa/kigeugeu............achana nae asijekuletea matatizo haswa kwa huyo mumewe
 
Hata kama wampenda na yeye anakupenda...ila kwa kwa kuolewa kwake tayari kuna ukuta kati yenu...
Heshimu ndoa za watu...
Heshimu hisia za mumewe...tafuta wa kwako peke yako...
Na ukimwita msichana demu naona kama unawa degrade kina dada...
 
kweli demu wako akikuacha akaolewa alafu tukio hilo alikufahamisha ukakubali aolewe, sasa anarudi anakuambia eti siku hadi siku hawezi kuishi na mme wake kwani anakuhitaji aishi na wewe, akidai eti wewe ndie chaguo lake la kweli, what is opinion my people???????

kigeugeu.
 
ameona mambo kule magumu anarudi kwako.............kama wewe ulikuwa chaguo lake kilichosababisha kuolewa na mtu mwingine ilikuwa nini......ana tamaa/kigeugeu............achana nae asijekuletea matatizo haswa kwa huyo mumewe
mke wako kigeugeu,dactari kigeugeu,kondacta kigeugeu,mwenye nyumba kigeugeu!!!! nowdayz watu wote vigeugeu!
 
Back
Top Bottom