Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Huenda watu wengi hawajagundua siri au janja ya kijana huyu ili tu aweza kusalia hapo alipo na ikiwezekana apande ngazi.
Kwa mtazamo wangu anachokifanya ni kujaribu tu kuiga style ya uongozi ya boss wake ili kumridhisha na kumfurahisha.
Angalieni hotuba zake kwa kutazama style yake ya kuhutubia,maneno anayotamka,namna anavyotoa maagizo,vitisho anavyotoa,namna anavyo-address watu,n.k mtapata majibu.
Hii ni mbinu tu ya kumshawishi mh.sana.