Inawezekana hii kweli??

Apr 17, 2013
38
2
salaam ndugu zangu wana jF...

kuna mdogo wangu kapata hivi katika matokeo ya form 4 mwaka 2012.....

bios C
kisw C
engl C
chem D
geog D
math D
civcs D
phys D
histry D

DIVISION 3 YA POINTI 25

anataka kusoma CBG kwenye shule ya GVNT...je akichaguliwa Hkl anaweza kubadilisha???kwenda CBG..

MSAADA WENU WANA JAMII FORUMS KWA HILI PLEASE.......
 
salaam ndugu zangu wana jF...

kuna mdogo wangu kapata hivi katika matokeo ya form 4 mwaka 2012.....

bios C
kisw C
engl C
chem D
geog D
math D
civcs D
phys D
histry D

DIVISION 3 YA POINTI 25

anataka kusoma CBG kwenye shule ya GVNT...je akichaguliwa Hkl anaweza kubadilisha???kwenda CBG..

MSAADA WENU WANA JAMII FORUMS KWA HILI PLEASE.......

sema wewe na sio mdogo wako ndo tukusaidie
 
Kimsingi,ili mtu achaguliwe combination yeyote anatakiwa awe na points zisizozidi 9 ktk masomo matatu ya hiyo comb!yaan alama C =3,B=2,A=1

so anatakiwa awe na angalau C3 ili atengeneze comb,kwa kesi yako ww huwez kuchaguliwa CBG ila km ukitaka kusoma private schools unaweza kuisoma CBG so long as u have got 3credits!

Govt wanaweza wakakuchagua HKL yaan utakua na DCC kwakua mwaka huu matokeo ni mabaya basi watakuchagua hiyo comb endapo uliichagua!!

Kuhusu kubadilisha ukishafika shule ,hutoruhusiwa kwasababu vigezo na masharti huzingatiwa kabla ya kumruhusu mtu kubadili comb!
 
Mkuu haya ni matokeo yake baada ya kustandadize ama ni kabla ya kustandadize.Kama ni baada basi ni sikio la kufa huyo hana lolote mtafutie chuo cha ualimu asije kukutia hasara huko mbele ya safari kwenye matokeo ya form six
 
Shule za serikali sahau cbg kama unataka piga hiyo comb tafuta private mapemaa.ungekuwa na c ya chemisry ungechaguliwa bila shaka ingekuwa ccd apo jiandae kupiga Arts
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom