Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

Inawezekana ukiwa na bahati na uwezo wa kujiongeza sio copy & paste kutoka kwa vimillionaire uchwara vya uswahilini
Maoni yako yanataja 1, Bahati 2, Uwezo wa kuijongeza.
Je, hayo yanapatikani vipi? Unaweza kuyafafanua? Je, hayo yamekusadia wewe au ndugu yako ypyote?
 
Usidanganyike kijana utajiri kibongobongo inabidi uwe either mla rushwa serikalini, mwizi, biashara haramu , mkwepa kodi, mchawi etcetc ndo utaweza anzia from scratch na kuwa na utajiri mkubwa tofauti na hapo urithi mtaji mkubwa, networks, connections za wazazi uendeleZe.

Ukisema ukomae fairly ivi utachelewa sanaaa kutoboa probably ukishazeeka huko ndo utashika hela hela.
 
Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?

Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Bilions? kama una rith kuna mtu alianza kufanikiwa ndiyo akatengeneza huo urith.so achana na mambo ya kurith rithi wewe te geneza utajiri wako uje uwarithishe wanao
 
Kwakweli mafanikio ninayozungumzia hapa siyo kujenga nyumba Kibaha na Kununua IST ya kupelekea watoto shule.
Hayo yenyewe no kawaida kwa kila mwenye juhudi bila kujali ametokea familia gani anaweza kuyafikia.
Ninachozungumzia Mimi zile hela na mali zenye kichwa na miguu.
Utajiri ni wa *SubhannaAllahu waTa'ala* humtunuku amtakae na humkaushia amtakae !!
 
Back
Top Bottom