Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kfanikiwa kiuchumi bila kubebwa?

Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa in walau kuwa na billions za kitanzania.
Ndio 💯💯💯
 
Ndio

Siri ni kufahamu jambo lifuatalo kwamba
Kipato chako = Matumizi yako + Akiba yako
Akiba yako = Mtaji wa kuwekeza
Kuwekeza = Utajiri wako
 
Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kfanikiwa kiuchumi bila kubebwa?

Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa in walau kuwa na billions za kitanzania.
FYI... ndg yetu SS Bakhressa ni mmoja wapo!

Na matajiri wengi waliyohamia TZ bara kutoka Visiwani waliaanza " alifu kwa kijiti " from zero!!
 
Inaelekea unaona kuna cha kurithi ila kama hauna cha kurithi huwezi kuwaza hivi.
Ungejua hapa sina baba wala mama, sina mjomba wala shangazi wa kumwelezea shida zangu usingeandika hayo!
 
Kama ni hivyo amini kabisa unaweza kutoboa pasi na urithi. Ingawa ni vigumu ila inawezakana kabisa
 
Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?

Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Yes soon mimi nitakuwa wa kwanza,
 
Inategemea leval ya Mafanikio, Kama Ni haya ya Nyumba ya kuishi na gari sawa, ila ya Business Empire kuna kazi kubwa na bila Historia nzuri ni ngumu
Mafanikio ninayizungumzia hapa siyo nyumba ya kulala au gari! Hayo MTU ukijipinda inawezekana!

Nazungumzia Business Empire kama ulivyo itaja mwenyewe.
Nashukuru umenielewa.
 
Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?

Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Ndio inawezekana ndugu yangu.

Fanya kazi kwa bidii.

Wasaidie wenye uhitaji katika jamii yako.

Kisha mtangulize Mungu.

Lazima ufanikiwe.
 
FYI... ndg yetu SS Bakhressa ni mmoja wapo!

Na matajiri wengi waliyohamia TZ bara kutoka Visiwani waliaanza " alifu kwa kijiti " from zero!!
Inawezekana kabisa tena bila uchawi

Kwakweli mafanikio ninayozungumzia hapa siyo kujenga nyumba Kibaha na Kununua IST ya kupelekea watoto shule.
Hayo yenyewe no kawaida kwa kila mwenye juhudi bila kujali ametokea familia gani anaweza kuyafikia.
Ninachozungumzia Mimi zile hela na mali zenye kichwa na miguu.
 
Back
Top Bottom