Ndio 💯💯💯Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kfanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa in walau kuwa na billions za kitanzania.
NdioHivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kfanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa in walau kuwa na billions za kitanzania.
FYI... ndg yetu SS Bakhressa ni mmoja wapo!Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kfanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa in walau kuwa na billions za kitanzania.
Kama ni hivyo amini kabisa unaweza kutoboa pasi na urithi. Ingawa ni vigumu ila inawezakana kabisaUngejua hapa sina baba wala mama, sina mjomba wala shangazi wa kumwelezea shida zangu usingeandika hayo!
Yes soon mimi nitakuwa wa kwanza,Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Mafanikio ninayizungumzia hapa siyo nyumba ya kulala au gari! Hayo MTU ukijipinda inawezekana!Inategemea leval ya Mafanikio, Kama Ni haya ya Nyumba ya kuishi na gari sawa, ila ya Business Empire kuna kazi kubwa na bila Historia nzuri ni ngumu
Ndio inawezekana ndugu yangu.Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa?
Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
FYI... ndg yetu SS Bakhressa ni mmoja wapo!
Na matajiri wengi waliyohamia TZ bara kutoka Visiwani waliaanza " alifu kwa kijiti " from zero!!
Inawezekana kabisa tena bila uchawi
Possible