Inawezakana mpango uliopo ni huu ila wanashiriki kama geresha tu

Bunduki na mabomu ya polisi yako kwa mujibu wa sheria mkuu!

Ndiyo sababu akina Trump hawataacha kututukana.Wazungu ni watemgeneza silaha kali lakini silaha zote zinanunuliwa na Watawala wa kiafrika kwa kodi ya wapiga kura wao ili kuua Wapiga kura wao .

Uko sahihi mkuu
 
Kumchanganya adui asijue kesho utaamua nini nayo ni mbinu, CCM wangejua Chadema watashiriki na kumuweka Mwalimu wasingefanya kosa la kumrudisha Mtulia.
Lazima watumie mbinu zao chafu ili washinde vinginevyo Bashite itampasa aombe radhi km mwenzake wa Mbeya.
 
Inawezekana wamegundua reaction ya vitendo ndio italipa zaidi na ndio itatuma ujumbe sahihi kuwa tuna tatizo kuliko kulalamika tu hivyo huenda wamejipanga kutumia fursa hii kujibu mashambulizi kwa vitendo na kuithibitishia dunia kuwa kuna tatizo la msingi.

Wamelaumiwa na kukejeliwa sana kwa upole nadhani sasa wamefika mwisho na kwakuwa watu wana hasira na vinyongo,tutarajie mpambano mkali maana hakutakuwa tena na kuwaambia warudi nyuma.

Vile vile nadhani wamegundua hii itakuwa fursa ya kuonyesha umuhimu wa kufanya marekebisho yanayotakiwa.

Safari hii wakipigwa shavu la kushota sidhani kama watageuza na la kulia.

Tunaendelea na utabiri kadri mitambo inavyosoma.
Ha! Ha! Ha!
 
Chadema mapambano yao wanaendeshea midomoni hawana misuli kama unavyotaka kutuaminisha, ile Cuf ya ngangari labda walijaribu kidogo!

Shida mnadhani kumwaga Damu za Raia wasio na hatia ni sifa.Hakuna uovu na laana juu ya ardhi kama kuua Raia wasio na hatia
 
Pamoja na yote wazo la kutosusia uchaguzi ni la busara na faida kubwa sana kuliko kususa.
 
Mdau Salary Slip una moyo sana.

Jinsi viongozi wenu wanavyo kosa misimamo na maono.

Leo unashabikia maamuzi haya kesho wanafanya kinyume inabidi upondee yale ya mwanzo utetee ya leo.
JPM anamkubali sana Lowassa mpaka kumuomba arudi ccm!Sasa wale wanaccm waliokuwa wanamtukana sijui wanajisikiaje?
 
Inawezekana wamegundua reaction ya vitendo ndio italipa zaidi na ndio itatuma ujumbe sahihi kuwa tuna tatizo kuliko kulalamika tu hivyo huenda wamejipanga kutumia fursa hii kujibu mashambulizi kwa vitendo na kuithibitishia dunia kuwa kuna tatizo la msingi.

Wamelaumiwa na kukejeliwa sana kwa upole nadhani sasa wamefika mwisho na kwakuwa watu wana hasira na vinyongo,tutarajie mpambano mkali maana hakutakuwa tena na kuwaambia warudi nyuma.

Vile vile nadhani wamegundua hii itakuwa fursa ya kuonyesha umuhimu wa kufanya marekebisho yanayotakiwa.

Safari hii wakipigwa shavu la kushota sidhani kama watageuza na la kulia.

Tunaendelea na utabiri kadri mitambo inavyosoma.
Hiyo ndo njia sahihi ila viongozi wako siyo.Wao kile kinaitwa dawa ya moto ni moto wao hawajui
 
Back
Top Bottom