Inauzwa Surveyor Equipment-Auto Lever Machine.

Natumiaga sana hii mashine nikiwa site,ila kwa laki 5 siwez kununua level mashine used. Ndio hizo tripod(miguu) haiwezi punguza bei ya mashine lakini hiyo mashine inaonekana ni used tayari(((lile boya jeusi au jumba la kuweke mashine limeshatobolewa na zile screw drivers, na mashine imegongwa kwenye kona ya juu ya upande wa kulia kwaio )))tupunguzie bei na useme utaisafirishaje hadi hapa dsm.
 
Asante na karibu tena mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom