Inaundwa tume kuchunguza kaburi la faru John

yote yana umuhimu wake kama ww huwezi kuona umuhimu wa faru basi na hata mengine yenye umuhimu huwezi kuona kwa hiyo kaa pembeni utupishe
 
inacho nishangaza ni kwamba faru john anaumuhimu kuliko miili ya watu 7 walikutwa wametupwa.Pia no muhinu kuliko Ben sa8
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Hivi hizo tume si zinatengewa fungu?
Ni maamuzi yenye ukakasi mkubwa....je tuna mangapi mazito ndani ya nchi hii yanayohitaji kutatuliwa? Ni kweli kabisa tunahitaji kuunda kikosi kizima cha tume kwa ajili ya faru mmoja tu?
Mbona habari mlizonazo mpaka sasa zinatosha kabisa kuwachukulia hatua waliohusika
Imeundwa timu ya kwanza ikaja na taarifa yake... .waziri hajaridhika nayo
Kuna kikosi kazi cha uchunguzi kinaendelea na na kazi
Kuna timu nyingine inafuatilia vinasaba
Na sasa Kuna tume nyingine inaundwa kwa ajili ya jambo hilohilo
Tunajua wanyama wetu hawa hatari wanazokabiliana nazo lakini naona kama ni too much sasa
 
Tume zimeanza tena
 
hivi hakuna haka ya tume kwa wale waliopolewa kwenye mifuko na kuzikwa kwa haraka....kule kwa mkwele...
 
Yaan Faru John ana dhamani na umuhimu mkubwa kuliko watu saba waliofukiwa baada ya kuuawa eti ni wahamiaji haramu?
Nadhani kuna tofauti kati ya mtu na binadamu
 
Hata kama kosa ni dogo lakini haki ionekane inatendeka.Wafuatiliwe mpaka kieleweke.
 
Ni maamuzi yenye ukakasi mkubwa....je tuna mangapi mazito ndani ya nchi hii yanayohitaji kutatuliwa? Ni kweli kabisa tunahitaji kuunda kikosi kizima cha tume kwa ajili ya faru mmoja tu?
Mbona habari mlizonazo mpaka sasa zinatosha kabisa kuwachukulia hatua waliohusika
Imeundwa timu ya kwanza ikaja na taarifa yake... .waziri hajaridhika nayo
Kuna kikosi kazi cha uchunguzi kinaendelea na na kazi
Kuna timu nyingine inafuatilia vinasaba
Na sasa Kuna tume nyingine inaundwa kwa ajili ya jambo hilohilo
Tunajua wanyama wetu hawa hatari wanazokabiliana nazo lakini naona kama ni too much sasa

Ndugu, Kama ungejua hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye rasilimali zetu...basi ungemuunga PM wetu mkono kwa hatua aliyoichukua..maana Mungu ndio anajua tu.
 
Hata iweje sioni kosa kufuatiliwa hao watu huenda ni kikulacho kiko nguonimwako ili kukwepa lawama .
 
Ni maamuzi yenye ukakasi mkubwa....je tuna mangapi mazito ndani ya nchi hii yanayohitaji kutatuliwa? Ni kweli kabisa tunahitaji kuunda kikosi kizima cha tume kwa ajili ya faru mmoja tu?
Mbona habari mlizonazo mpaka sasa zinatosha kabisa kuwachukulia hatua waliohusika
Imeundwa timu ya kwanza ikaja na taarifa yake... .waziri hajaridhika nayo
Kuna kikosi kazi cha uchunguzi kinaendelea na na kazi
Kuna timu nyingine inafuatilia vinasaba
Na sasa Kuna tume nyingine inaundwa kwa ajili ya jambo hilohilo
Tunajua wanyama wetu hawa hatari wanazokabiliana nazo lakini naona kama ni too much sasa
We mpuuzi kweli...hata umhimu wa huyu tembo mmoja huujui,pita huku na pumba zako.

Wakutumbuliwa bila ushahidi wa kutosha,ninyi hao hao wa kwanza kukenua hayo makopo yenu kulalamika.
 
Back
Top Bottom