Inaumiz kichwa.............................!

BURHAN SAID

Member
Sep 13, 2011
13
0
Eti VODACOM wanatoa msada wa pole kwa wazanzibar wakati, Tukio linatokea wao ndo walikuwa wanasherehekea kumsimika miss mpya. Wazanzibar msijaribu kuchukua izo pesa hata wakiomba msamaha hawana haya wala huruma, ningependekeza watanzania kwa umoja wetu tuunde mbinu ya kuhakikisha hatutumii bidhaa za VODACOM au mnasemaje watanzania wenzangu?
 
Haya ni malumbano yasiyo na TIJA kwa TZ..............
 
Voda hana kosa, yeye ni mdhamini tu. Wanajichelewesha hao, ngoja wapewe mil800 uone! Kama wajanja waache a/c zao za M-pesa na sim card zao.
 
Eti VODACOM wanatoa msada wa pole kwa wazanzibar wakati, Tukio linatokea wao ndo walikuwa wanasherehekea kumsimika miss mpya. Wazanzibar msijaribu kuchukua izo pesa hata wakiomba msamaha hawana haya wala huruma, ningependekeza watanzania kwa umoja wetu tuunde mbinu ya kuhakikisha hatutumii bidhaa za VODACOM au mnasemaje watanzania wenzangu?

nawasiwasi unashare TIGO wewe hatukubali, tusipotumia vodacom tutumie mtandao gani yakhe?

tigo?? ambao kila muda 'network busy', au Zain? ambayo kilasiku inauzwa, tukiuzwa na sisi? au tutumiea Zantel? mbona huku kwetu haipo?
 
nawasiwasi unashare TIGO wewe hatukubali, tusipotumia vodacom tutumie mtandao gani yakhe?<br />
<br />
tigo?? ambao kila muda 'network busy', au Zain? ambayo kilasiku inauzwa, tukiuzwa na sisi? au tutumiea Zantel? mbona huku kwetu haipo?
heheheee. Nimependa hapo kwenye Airtel! Mimi ni mteja tu! Hawa wazenji wanapigia promo Zantel!
 
Kwa kweli mie ni mtumiaji wa Voda huu ni mwaka wa saba,sihami ngo,eti niondoke voda kwa sababu ya hiyo ajali?kwani ni voda wamezamisha hiyo meli?acheni siasa kupoteza ukweli,wewe ungehamasisha watu kutongangania kupanda meli ambazo ziko ovaloaded na sio kuanza kupiga kampeni za kuisusia voda hapa.
Wewe nafikiri umemsikiliza zitto,zitto ni mwana siasa anayetafuta umaarufu,kwa kiongozi mkubwa namna ile sikutegemea kama angeanza kuilaumu voda,mtu kama yeye alitakiwa kutafuta na kulaani chanzo cha ajali,kutoa miongozo ya kuzuia isitokee tena na sio kuanza kuwashambulia watu wanaostarehe kwa kula hela yao.
 
wewe mTIGO usi2'mis'lead,ulichotakiwa kusema ni KUISUSIA CCM ambayo pamoja na kupata habari ya ajali waliendelea na shamrashamra za uzinduzi wa kampeni pale IGUNGA,tuanze kuisusia CCM kwanza mzee...
 
Back
Top Bottom