INAUMA SANA ...kwamba CCM \ NEC ndo walichoma KURA Shinyanga...

Mr. Clean

Senior Member
Aug 7, 2006
195
44
Kuna mdau yupo halmashauri ya mjini shinyanga kasema hela waliyohongwa na ccm\nec sasa imekwisha hivyo wanaona aibu mbele ya jamii. na kasema baada ya kuona mgombea wa chadema keshashinda mkurugenzi kutumwa akasema mgombea wa ccm ndo kashinda kwa kudra za m\mungu akakosea ulimi ukakataa akasema ukweli kuwa chadema wameshinda. akaitwa akaambiwa hana kazi. akasema yupo tayari kujiuzulu. ccm wakamwambia huyu mgombea wetu atakuwa waziri..nikauli ya jk...hivyo akatangaza baadaya nususaa tena ati mgombea wa ccm kashinda. HALAFU ccm\nec wakachoma masanduku ya kura ili kupoteza ushahidi...JE KUNA SABABU YA MIE KUPIGA KURA 2015 KAMA TAYARI WASHINDI HUJULIKANA KABLA!
 
umeongea kwa uchungu...ila swali kwako. Je, upo tayari kulitetea hili mahakamani kama Chadema itayapinga matokeo hayo muda ukiwadia? Hapo ndipo historia itakutukuza.
 
Kama Shelembi(mgombea wa Chadema) akiingia mahakamani na kama masanduku ya kura yalichomwa katika madai yake anatakiwa kuomba uchaguzi urudiwe kwa sababu karatasi za kura zimeunguzwa. simpo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom