Inasikitisha: Waziri kabudi anatufelisha,hii nafasi ya vita wapewe wengine,tujenge heshima kama nchi

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Siku zote Rais wetu kipenzi cha wanyonge amekuwa akisema tupo kwenye vita ya kiuchumi,Rais aliyevunja rekodi ya tangu uhuru sitaki kuongelea sana jinsi anavyokubalika kwa asilimia 200,jinsi alivyosababisha wanyonge kwa mra ya kwanza wanaishi kwa furaha na maisha yameboreka kwa kasi katika awamu hii ya tano.
Tulipigana vita ya kiuchumi mererani na mtwara kwa kutumia jeshi letu na tulishinda ila kuna hii vita mpya inahitaji waziri wa mambo ya nje atusaidie kushinda ndiyo kwanza yeye anaenda kutuchomesha.
UK,US,CANADA,NORWAY wameingia anga zetu na kebehi zao za kibebereru,tusikubali,tuwapazie sauti kwamba sisi HATUOGOPI,HATUWAHITAJI,TUNA RASIMILIMALI ZA KUTOSHA,TUTAFANYA UHUSIANO MADHUBUTI NA CHINA NA IRAN NA URUSI,WAONDOKE HARAKA
Hii ni golden opportunity ya sisi kama nchi na awamu ya tano kuweka hsitoria Duniani hivyo italeta heshima kubwa sana.Inasikitisha eti profesa Kabudi juzi kwa MARA YA PILI ANAYALILIA MABEBERU YAISAMEHE ZIMBABWE.Why profesa,why lakini? kwa nini?UNATUKATISHA TAMAA sisi wapinga mabeberu
Nashauri vita hii dhidi ya mabeberu akabidhiwe LUSINDE KIBAJAJ,MAGAI MUSIBA,NA ELIBARICK KINGU ambaye juzi kanifurahisha kwa kuwatukana mabalozi wa US na UK,ule ndiyo ushujaa unaotakiwa kwa wabunge wetu
WAONDOKE HATUWATAKI,WASIJIPENDEKEZE,TUNA MADINI NA RASILIMALI KIBAOOOOO.
 
IMG_2460.JPG
 
Anakubalika kwa asilimia 200 na mabwege tu.
 
Mnaowaita mabeberu wakitoa misaada na kufadhiri miradi mnapokea kwa mikono miwili. Acheni utoto
 
Yani kaondolewa mwanadiplomasia Dr. Mahiga, kawekwa mwana hashuo Dr. Kabudi, halafu bado mnalaumu?

Kweli kuna wahafidhina halafu kuna Wahabi!
 
Back
Top Bottom