Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,171
Kwasasa Covid19 ishatukamata maana hatuwezi kuicontrol tena,watu walipuuza baada ya salama na fatuma kutoa movie yao ikiongozwa na director meter_core bashite kwamba covid19 sio issue na producer alivyokuja kumalizia kwamba tupige kazi tu maana huku kwetu haiwafevi virus wa corona.....Tumekuja kustuka kushakucha baada ya covid19 kuichakaza TBCCM.....Kwa Africa upungufu wa kinga ni mwingi sana maana tunaendekeza ngono kwahiyo NGWENGWE + COVID19 ni hatari.