ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Nakumbuka kuna siku mtukufu RAIS alitoa mfano wa jinsi wapiga deal walivyokuwa wanakula bata mpaka wengine bar wana viti vyao special na glass hata wasipokuwepo havikaliwi
Tukaanza kuona jinsi bar zilivyokauka hadi wanyonge tukafarijika kwamba sio sisi tu tunaokumbwa na ukata ila cha kushangaza hapa jijini mwanza bata zimerudi kwa kasi ya ajabu haswa ukichukulia kwamba hii ni january
jana nimepita shooters,villa,the dreams na diamond kote huku nikiingia ndani na kwenda chooni ili kuangalia vizuri kinachoendelea,kwa kweli nilisikitika sana
pombe zinanyweka,watu wancheza miziki kwa makelele makubwa
Mtukufu Rais ,kwani imeshindikana tenas kudhibiti wapiga deal?????? au Nchi imeanza kupinda kama kipindi kile cha MZEE BURE?