Inasikitisha sana: Hivi ni kweli nchi hii tunaweza kukosa ndege au helicopter za ambulance za dharura mpaka tuazime nchi nyingine?

Mabishano yalikuwa kati ya Dr Mpoki na nani?!

..mabishano kati ya Ndugai na Mbowe.

..according to TL yalimalizwa na kauli ya Dr.Mpoki, "...I am a medical doctor, he goes to Nairobi..."

..binafsi nadhani Jiwe na Ndugai walikosea kumsusia TL wakati akiwa hoi, hajitambui, na ktk hatari ya kukata roho.

..itikadi za vyama na kupishana kimtizamo hakupaswi kuifanya mioyo yetu iwe migumu.

..TL ni mnadhimu wa kambi ya upinzani, Je, mnadhimu wa serikali angekuwa ameshambuliwa Jiwe na Ndugai wangekuwa na mioyo migumu kama ilivyotokea kwa TL?
 
..mabishano kati ya Ndugai na Mbowe.

..according to TL yalimalizwa na kauli ya Dr.Mpoki, "...I am a medical doctor, he goes to Nairobi..."
Sasa mnalalamika nini?

Ofisi ya KUB ina fungu lake la fedha...... Mbowe angekodi tu ndege!
 
Sasa mnalalamika nini?

Ofisi ya KUB ina fungu lake la fedha...... Mbowe angekodi tu ndege!

..Ofisi ya KUB ingekuwa na fedha hizo isingelazimu TL kusafirishwa kwa ndege iliyokodishwa kwa kudhaminiwa na Mh.Turki mbunge toka ZNZ.

..Badala ya Jiwe na Ndugai kuokoa jahazi, ilibidi Mh.Turki ndiyo awadhamini CDM kupata ndege ya kukodi kumuwahisha TL Nairobi.

..Hivi angekuwa Mnadhimu wa kambi ya serikali ameshambuliwa Jiwe na Ndugai wangemsusia kama walivyofanya kwa TL?
 
Kwani hiyo "hedi kopta" bei gani si tumwambie tu @Kidukulilo afanye yake, kila wilaya watakuwa na yao🤒
 
hata selikali ikinunua helkopta na ndege kwa ajili amburence bado mtabeza tu
kwani aliponunua ndege za usafili mlibeza
hamna jema

Kuna mwananchi alishirikishwa kwenye ununuzi wa ndege? Wanabeza kwakuwa kwenye hizo ndege hakuna ndege ya wagonjwa.
 
..Ofisi ya KUB ingekuwa na fedha hizo isingelazimu TL kusafirishwa kwa ndege iliyokodishwa kwa kudhaminiwa na Mh.Turki mbunge toka ZNZ.

..Badala ya Jiwe na Ndugai kuokoa jahazi, ilibidi Mh.Turki ndiyo awadhamini CDM kupata ndege ya kukodi kumuwahisha TL Nairobi.

..Hivi angekuwa Mnadhimu wa kambi ya serikali ameshambuliwa Jiwe na Ndugai wangemsusia kama walivyofanya kwa TL?
Hata kwenye lile igizo la mwanajeshi mstaafu eti kupigwa risasi jiwe alienda, lakini shambulizi halisi hakumtembelea.
 
Back
Top Bottom