Inasikitisha, Nimelia sana: Hii picha ya Dr Bashiru ni usaliti mkubwa, sikutarajia

Injili ya Gheto,
Kutalii ni pamoja na changamoto hizo,unamuwekea mzungu lami mbugani then what?kwao huko lami mpk chooni adventure hizi Ndo wanapenda. Hawezi sema alikua Africa huku kapepewa tu mda wote.
Akwame km hapo juu,aibiwe kidogo, atafunwe, atafune binti zetu apige ganja na nyagi akirudi kwao anajitanua mwenzio km mår survive Africa.
 
Kweli, kutalii changamoto lazima ziwepo unachangamka kiasi fulani, na changamoto huwa kunaleta umoja fulani mkiwa vacation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CC Mh. Lema
BCC Mh. Gambo; RPC Arusha

Ha ha ha ha haaaaaaa nimecheka mpaka nimekojoa haaaaaaaaaa ha ha ha haaaaaa

RPC hajatupa mrejesho watuhumiwa wa usaliti vita uchumi wamepatikana ????

Ha ha ha haaaaaaaa haaaaa ama kweli Gigy ni Kiki na mambo ni Gambo

Ukisikia kiki ya pikipiki ndio ile ya Gambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli kama Watanzania hatutasimama pamoja na wazalendo wakubwa nchii hii yaani RC Gambo pamoja na RPC shana basi historia itatuhukumu sana

Jana nimeweka picha ya jaji namba 62 alivyopost picha ya kuidhalilisha nchi na kuhujumu uchumi leo tena tunaona Dr Bashiru kafanya the same,tunaomba Rais Magufuli uingilie kati uchukue hatua kali dhidi ya bashiru na yule jaji ili umpe moyo kijana wako mpendwa ambaye unamuamini yaani Rc Gambo katika kulipigania taifa

Jamani tupo kwenye vita ya kiuchumi,kupost haya mapicha yanayodaiwa kuwa ni barabara mbovu ni kuhujumu uchumi,haikubaliki,maadaui wanaweza wakajiona wameshinda kisaikolojia

NAUNGANA NA RC GAMBO NA RPC SHANA KATIKA KUISHINDA VITA HII YA WANAOPOST BARABARA MBOVU kama kweli ni mbovu si watoe taarifa kwa wahusika zitengenezwe?
View attachment 1362619
Amina
 
nzagambadume,
Jamani Bashiru huyu huyu wa CCM ameamua kuungana na mabeberu kuhujumu juhudi za mtukufu mheshimiwa rais John Joseph Pombe

Basiru tutakuteka mchana kweupe tukakung'oe kucha na kukubambikia kesi ya mauaji ya halaiki. Oooooh
 
Kutalii ni pamoja na changamoto hizo,unamuwekea mzungu lami mbugani then what?kwao huko lami mpk chooni adventure hizi Ndo wanapenda. Hawezi sema alikua Africa huku kapepewa tu mda wote.
Akwame km hapo juu,aibiwe kidogo, atafunwe, atafune binti zetu apige ganja na nyagi akirudi kwao anajitanua mwenzio km mår survive Africa.
Well saidi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi watu hawajaelewa dhamira yako. Ungejitahidi ku-attach na Ile video ya RC kule kaskazini kidogo mngezungumza lugha moja.
 
Duuh ama kweli hili ni Jukwaa la Siasa uchwara....

Naona watu wengi wanamtukana tu mleta mada pasipo hata kuelewa mantiki ya hoja yake...

Hapa hamtetei RC Mrisho Gambo wala RPC huyo wa Arusha. Na wala hamtetei GS Bashiru Ally wa CCM....

Ujumbe anaotaka tuelewe na kuupata kupitia post hii ni kwamba;

1. Hata Katibu Mkuu wa CCM ndg Bashiru Ally amepita kwenye barabara mbovu za Tanzania na kashea na sisi ubovu huo kupitia picha, na kamwe siyo kosa kama ambavyo RC Arusha na RPC wake wanataka kuaminisha watu....!!

2. Pia amepiga picha (aweza kuwa yeye au miongoni mwa aliombatana nao) na kupost kwenye mitandao kuonesha taabu wanayoipata kwa sbb ya ubovu wa barabara zetu. Huu ni ujumbe kwa wanaohusika na matengenezo ya barabara kuona na kufanyia kazi tatizo hilo...!!

3. Pia anataka tuelewe kuwa, hata yule aliyepiga picha kule ktk mbuga za wanyama akionesha ubovu wa barabara, kama alitenda kosa kwa mujibu wa RC Gambo na RPC wake, basi hata huyu katibu mkuu wa CCM na watu wake wana makosa yaleyale na kwa maana hiyo itoke amri ya kuwakamata na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi...!!

å Kwa ufupi sana, ni kuwa, mleta mada kawasilisha ujumbe kifasihi sana lakini kwa sbb ya uvivu wa baadhi ya wachangiaji wengi humu kusoma na kutafakari kwa makini na kuelewa, wameishia kuelewa vibaya na kuanza kurushiana matusi tu bila sababu!!
 
Kwa kweli kama Watanzania hatutasimama pamoja na wazalendo wakubwa nchii hii yaani RC Gambo pamoja na RPC shana basi historia itatuhukumu sana
Gambo alizungumzia kupost barabara mbovu za mbugani sio za nchi nzima
Ungekunya hadharani ndio tungejua una uchungu na Gambo,kulia hata paka analia
 
Back
Top Bottom